makambako

Makambako is a medium-sized town and district in the Njombe Region of the Tanzanian Southern Highlands, located roughly 40 miles north of Njombe city by road. It is located at junction of the A104 and B4 roads between Njombe, Iringa, and Mbeya. Its population according to the 2002 Tanzanian census was 51,049.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Wanaodhaniwa kuwa wachawi wanasa Njombe

    Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
  2. B

    Makambako: Mbunge alia fidia za wananchi mbele ya Rais Samia, Waziri amjibu

    Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa malalamiko hayo leo hii katika ziara ya Rais jimbo la Makambako. Kwa mujibu wa mbunge huyo, kuna maeneo...
  3. Kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  4. Kwa wazazi wa watoto wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  5. Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  6. Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  7. CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
  8. Serikali fungueni mipaka wakulima wauze wenyewe mahindi, NFRA inawanufaisha wachache

    Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
  9. I

    Makambako: Njia ya treni yaharibika

    Wakuu, Kuna taarifa njia ya reli ya TAZARA imeharibika. no pictures please. Upuuzi huu na mwingine kama migao ya umeme tutaisikia sana baada ya Dr. Magufuli lakini tujue kama ambavyo Dr. Magufuli hakuishi milele basi na huyu aliepo hatoishi milele. Sisi Wananchi wa Tanzania hatutaki tozo bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…