Maafisa wa Kremlin wanahatarisha matarajio ya uwekezaji wa faida kubwa kwa makampuni ya nishati ya Marekani, inaonekana wanataka kumshawishi Rais Trump kwamba mafanikio makubwa ya kiuchumi yanaweza kuja kutoka kwa Moscow katika kumaliza vita vya Ukraine na kufuta vikwazo vya kiuchumi dhidi ya...
MHADHARA (92)✍️
Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji kupitia ndoa. Hata ambao hawakubahatika kupata elimu pia wameshafahamu kuwa ndoa ni njia nyingine ya...
Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe.
Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Support wanayowapa vijana kifedha ili wawe wanafanya press...
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu.
Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote as long as iwe halali tu, sina hata mtaji wa kuuzia ubuyu hali yangu ni mbaya...
Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo.
Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say
By Reuters
February 14, 202512:25 PM GMT+3Updated a day ago
Summary
Companies
Symposium is likely to be held on Monday, sources say
Attendance by...
BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu.
Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo.
Njia pekee ya kufikisha...
NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani
Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
Kampuni ya AI kutoka China ya Deepseek imezua gumzo katika vyombo vya marekani hivi karibuni kwa toleo lenye uwezo mkubwa
Hali hiyo imeleta hofu kwa makampuni ya marekani katika soko na ushindani,je serikali ya Marekani itachukua hatua za haraka kudhibiti hali hii
Je, huu utakuwa muendelezo wa...
Habari,
Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya bima,kamari,muziki,mataperi,polisi,nhif,bahati nasibu,nk.
Hivi tumenunua simu kwa ubia na mitandao ya simu?
Yaani sms...
Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda.
Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania?
Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi.
Kwamba hatuwezi...
Tunaamini ukila ukashiba na akili inalala,, Kama elimu yako ndogo, masikini na matapeli ndo hawatowaelewa hawa watu ukitaka jua sifa ya mtu hohehahe ni kuwachukia hawa jamaa.
Wakati najitafuta niliwahi pita na kupewa kibarua na kampuni zao wameajiriwa vijana wengi wanajipatia chochote cha...
Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan.
==
China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi za Marekani pamoja na maafisa wa sekta ya ulinzi wa Marekani Alhamisi hii (Disemba 5), ikiwa ni...
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
Anonymous
Thread
bora
huduma
huduma bora
internet
kipindi
makampunimakampuni ya simu
mashati
miaka
miaka 10
simu
zaidi ya
Kwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa dhamana.
Leo nimesikia kwamba wafanyakazi wao wengi wana hali za kawaida/ chini kiuchumi
Kuna ukweli?
Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ?
Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
Ni Hesabu ndogo tu...
Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka;
IKIWA MZALISHAJI NI UMMA;
Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda ikatolewa Ruzuku kupunguza hizo gharama au Mteja hana jinsi lazima atatumia tu
IKIWA MZALISHAJI NI BINAFSI...
Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.