Straight to the point.
Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa.
Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali.
Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa.
Sasa Kwa kuwa tayar mteja...
Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi.
Je, ni maelekezo kutoka juu?
- Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na...
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha.
Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa huduma bali itengenezewe sheria na kuwa ya lazima.
Katika nchi duniani huduma hii inasimamiwa kwa...
Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana.
Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
Wiki kadhaa niliingia CRDB na shida zangu kama mteja. Baada ya kukutana na wafanyakazi na kuwaeleza shida yangu ikawa kama mteja mkorofi. Jamaa nikashangaa wanakuwa wakali, eti "unatakiwa uwe na CRDB App". Nilipowajibu siitaki ikawa kama nimewaambia wasinihudumie, hii imenishangaza kwa kweli...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama
Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi.
Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
Kwa mkono wa Mikael Mtanzania
Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na tunaweza kujipongeza kwa upungufu wa gharama hii.
lakini ukweli ni kwamba bado tunayoshida ya...
Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo aliyonayo, lakini badala yake wao hu (upload users devices data) mfano Phonebooks na meseji kisha mteja...
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni.
Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani.
Wakili Frank Mwalongo anakiri ni kweli anawakilisha kampuni sita (6) katika kesi zao dhidi ya EQUITY...
TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala utakutana nazo bills!
Hiyo ndiyo hali halisi ya wizi huu unaofanywa na kampuni ya parking na...
Tanzania imekuwa eneo moja wapo la matajiri kuwatumia maskini kunufaika kibiashara
Vijana kutoka kijijini na makoti yao wameingia mjini; joto ni kali lakini muda wote wamevaa makoti wanacheza barabarani na kwenye kumbi kutangaza biashara za watu.
Kwa fedha makampuni wanazoigiza kupitia vijana...
Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali.
Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo.
Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.