Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi.
Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
Naomba anayefahamu atueleze, kuna kitu gani kinachoendelea katika hii mitandao ya simu kwa sababu inaonekana ni wizi wa dhahiri kabisa.
Kwa mfano, kwa sasa ukinunua GB moja ambayo ni sawa na MB 1,000 na kama hutumii kwa kupakua ila kwa ku-browse tu pale ambapo ulikuwa ukitumia kwa takriban siku...
Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi.
Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
Uchumi wa China umekuwa ukijitahidi kufanya kurudi kwa nguvu. Sasa, hata kiongozi wa China, Xi Jinping, amekiri changamoto nyingi ambazo uchumi wa nchi hiyo ulikabiliana nazo mwaka 2023.
Baadhi ya makampuni yalipata wakati mgumu. Baadhi ya watu walipata ugumu wa kupata kazi na kukidhi mahitaji...
Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji.
Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors)
●TSMC
Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao...
AL AHLY (ADIDAS)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi
WYDAD AC(MACRON)
Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu?
Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo.
Mnakosa fedha
Siku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho.
Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi.
Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio...
Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
Watu kwa sasa wameshafunguka macho. China imekuwa electronic hub ya dunia yetu. Nchi za kiarabu zenyewe zinakuwa ni hub ya mafuta hapa duniani. Kwa kuwa mabadiliko yanaendelea china kwa sasa ndiyo inayotuongoza kwenye mabadiliko ya kiteknolojia.
Leo nitaongelea magari ya umeme (EV). Nitaongelea...
Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana.
Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
"Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum
"Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
Ili wa Tz waweze kumiliki rasilimali zao IPO haja ya hizi taasisi kuwa wanauziwa hisa , Bakwata, TEC, CCT, Bodi ya madaktari, ma engineer, cwt,TLS,nbaa, PSPT nk , ili tuepukane na Wana siasa uchwara.
Makampuni iwe TPDC, TPA, nk nk
Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki.
Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka.
Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
Hellow members, kama kichwa cha uzi kinavosema.
Je, ni huduma gani inayotolewa kibaishara na kampuni au taasisi flani ndani ya jiji la Dar es salaam ungetamani iboreshwe?
Taja jina la huduma, kampuni inayotoa hizo huduma, kero na maboresho ungetamani yafanyike.
Karibuni.
Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani.
Kweli tunakwenda kukopa nje...
Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo.
Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.