makampuni ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu? Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo. Mnakosa fedha
  2. R

    Nimestushwa na wizi wa data wa makampuni ya simu

    Siku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho. Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi. Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio...
  3. Y

    Ushauri kwa makampuni ya simu kuhusu matumizi ya line za simu

    Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana. Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
  4. mirindimo

    Star link yapigwa zengwe, makampuni ya simu hayaitaki

    Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali. Kama tumesahau niwakumbushe ni serikali ndio inamiliki mkongo wa Taifa kupitia TTCL ambayo haijawahi kuwa huduma nzuri ya mtandao kuzidi mitandao mingine japo wao ndio wanagawia...
  5. Wilhelm Johnny

    Nawezaje kupata banner za makampuni ya kutengeneza simu?

    Wakuu nitapataje zile banner zinatolewa na makampuni ya simu kama tecno Samsung na Infinix.
  6. Execute

    Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  7. I am Groot

    Naibu Spika wa Bunge Musa Zungu alaumu tozo kukataliwa. Wananchi, makampuni ya simu na benki zahusishwa

    "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali...
  8. N

    Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  9. chiembe

    Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  10. N

    FCC mmebariki uhuni, wizi na utapeli wa makampuni ya simu?

    Haya majitu ni matapeli na majizi yasiyo na aibu wala huruma, kwa bahati mbaya pale pia watu.vyombo vilivyotakiwa kuwasaidia WANUKA JASHO wa nchi hii wal hawana habari kabisa Wamekaa meza kuu na majizi hayo wanakula na kusaza , wanukajasho watatjijua wenyewe Miaka 3 /4 iliyopita hata 2...
  11. N

    Hakuna "wawekezaji" wanaotetewa kimagumashi kama kampuni za simu

    Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu Sanasana watu wakilalamika wataambiwa nyie hamjui kutumia simu zenu kuna APPS zinakula data, mara Tanzania ni ya sita afrika kwa kuwa...
  12. mjukuum

    Watanzania hatuna mtetezi. Kampuni za simu zinafanya zitakavyo

    Niseme wazi hili jambo wabongo tumetelekezwa hatuna mtu wa kukemea unyama unaofanywa juu yetu. Tigo wamebadilisha vifurushi kwa wiki elfu tano inakuwa gb 2.7 badala ya gb 3 na watu wanaotakiwa kututetea wamenyamaza kabisa. Dah nawaza nakosa majibu
  13. J

    Waziri Nape aitaka TCRA kushughulikia malalamiko ya wananchi kuunganishwa huduma ambazo hawajaomba

    WAZIRI NAPE ATOA MAELEKEZO KWA TCRA, MAKAMPUNI YA SIMU Na Mwandishi wetu, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na makampuni ya simu kutatua kero na malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za...
  14. Conwel Ngani

    Makampuni ya simu yameamua kwa makusudi kupunguza kasi ya internet?

    Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo. Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
  15. JanguKamaJangu

    TCRA inachunguza mabadiliko ya mabando ya simu yaliyofanyika kimyakimya

    Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia. TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
  16. N

    WATANZANIA NI HOVYOO: TUHURUMIE MAKAMPUNI YA SIMU

    Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni Bando ziendelee kupanda nakazi...
  17. R

    Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  18. H

    Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
Back
Top Bottom