makamu mwenyekiti ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
  2. chiembe

    Pre GE2025 Dodoma imejaa ikatapika: Kuna mtu kabaki Dar?! CCM yafunika, ni shangwe kila mahali kuelekea mkutano mkuu wa CCM

    Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma! Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi vijavyo. Baada ya kukaa na wana CHADEMA wenzangu tukitukanana kwa karibu wiki nne, twende kwenye...
  3. Mchochezi

    Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana. Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
  4. Li ngunda ngali

    Tetesi: Mizengo Peter Pinda ndiye Makamu M/kiti CCM Bara

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi...
  5. GENTAMYCINE

    CCM wasipomteua Waziri Mkuu Mstaafu Pinda kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara nitawadharau hadi Siku ya Kiama

    Ukiona GENTAMYCINE namkubali Mtu jua nimeshampima kwa Vigezo vyangu vyote na kuona anafaa. Mizengo Kayanza Peter Pinda apewe.
  6. Allen Kilewella

    CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma. Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika. Leo siku tatu kabla ya mkutano huo...
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Amos Makalla: Mnaobashiri nafasi ya Kinana muda huo haupo. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM haigombewi

    Wakuu, Haya jamani mliokuwa na kiherehere kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM, mna salamu zenu huku kutoka kwa Makalla Kaeni kwa kutulia ======================================================= Chama cha Mapinduzi CCM kimewataka wanachama wake kuachana na watu wanaobashiri...
  8. kmbwembwe

    Pre GE2025 Pongezi Kinana kujiuzulu Umakamu Wenyekiti wa CCM Bara

    Niimefurahi kujiuzulu Kinana nafasi yake ndani ya chama ili kutunza heshima yake. Kwa nini nimefurahi kwa sababu ni mtu namfahamu tangu tuko vijana shule. Ni mtu mwema na rafiki kwa kila mtu na nisingependa kuona heshima yako ikipotea. Lazima tukubali ndani ya ccm tuko wanachama wa milango...
  9. S

    Natamani kuiona barua ya Kinana kujiuzulu

    Hili ndio jambo nalotamani kuliona kwa sasa ili tuweze ku-balance story na pengine kujua ukweli halisi wa mambo. Hata hivyo, sitashangaa wakati wote kuanzia sasa barua hiyo ikaanza kusambaa mitandaoni unless barua ya CCM kuhusu Kinana kujiuzulu inasema ukweli. Binafsi, barua hii ya CCM naiona...
  10. R

    Pre GE2025 Mzee Kinana, kwanini vijana uliowafundisha siasa hawafuati hatua zako za uwajibikaji? Hongera kwa kujiuzulu!

    Mzee Kinana Salaam, shalom!! Ndani ya chama Cha MAPINDUZI CCM, umewafundisha siasa vijana wengi sana, inawezekana wamefaulu machache kati ya mengi uliyowafundisha, Somo linalohusu uwajibikaji wa pamoja umelifundisha sana tena Kwa vitendo, imekuwa mjenga HOJA mzuri, umejiuzulu mara kadhaa pale...
  11. R

    Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
  12. benzemah

    Pre GE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  13. CM 1774858

    Abdulrahman Kinana asisitiza umoja, amani na mshikamano kwa Taifa

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshikamano na ushirikiano baina ya watanzania wote bila kujali dini, kabila wala rangi kwa kuwa ni suala la Kikatiba na msingi wa ubinadamu. Kinana ametoa ujumbe huo wakati...
  14. Nigrastratatract nerve

    Kinana ni bora ukajiuzulu sasa Makonda ni asset kwenye Chama wewe ni liability. Makonda ameshinda chuki zinazoelekezwa kwake

    Kitendo cha Kinana kupuuzwa maneno yake ya kufanya kazi kwa kuwawajabisha hadharani watumishi wa umma ni dhahiri Sasa siasa za Kinana hazina mvuto tena aachie damu changa. Ajiuzulu ndani ya CCM kumruhusu mwenyekiti ateue Makamu Mwenyekiti anayetaka kuendana naye na mwelekeo mpya kwa sababu...
Back
Top Bottom