Wakuu
Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali...
Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku.
Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura.
Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili.
Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu.
Na Mwandishi wetu
Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
Makamu wa Rais ameoneshwa kusikitishwa Kwa ulaji huo wa pesa za wakulima ukiofanywa na Watumishi Kwa kushirikiana na Maofisa wa NMB na watu wengine 15.
Waziri wa Kilimo amesema amechukua hatua zikiwamo.kuwasimamisha kazi waliotajwa huku VP Mpango akimtaka kuchukua hatua zaidi Kwa kushirikiana...
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo.
Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
5.Zambia -...
Hilo ni swali ninaloliuliza kwa nia njema kabisa.
Ni swali ambalo limekuwa likinijia kichwani mwangu baada ya Rais Samia kuwa Rais.
Nimeona na nimesikia sana kuwa Sasa Rais Samia “ is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.”
Hivi, kama Rais akiwa dikteta, wewe makamu wake...
Hii ndio tofauti ya Taifa huru na linalotambua maana ya kupata uhuru.
Leo hii Taifa letu linaletewa mjadala wenye akili kubwa na wenye mrengo wa kujikomboa kiuchumi bila kupangiwa na mkoloni.
Hongera sana kwa mhe.Rais kwa kutuletea mjadala wenye tija yaani ni namna gani nchi itapata fedha za...
Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni...
Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi.
Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam.
Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo...
Huyu Mkatukumeni na Mlei mwenzangu ambaye ni Makamu wa Rais wa JMT sijawahi kumsikia aki address jambo lolote liwe kubwa au dogo hasa kama linagusa maisha na hisia za Raia.
Ama kwakuwa sifahamu protocali za uongo pengine ndio sababu.
Mh Dr Mpango sema chochote kuhusu Kadhia hii inayoendela na...
Wiki hii makamu wa Rais na waziri wa mambo ya ndani wakiwa katika shughuli tofauti za kidini wakiwa jukwaani walizungumza mambo ambayo kwa hakika ni kuingilia uhuru wa imani za watu wengine.
Makamu wa Rais aliwanyooshea vidole viongozi wanaojilimbikizia mali pamoja na kuwaaminisha wafuasi wao...
Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana:
Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu?
Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa?
Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo.
Mh. Dkt. Mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.