Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo.
Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya...
KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
Rais wa Tanzania Samia
Laiti wewe na serikali yako mngetengeza urahisi wa upatikanaji wa nishati mbadala (hasa matumizi ya gesi) kwa kuifanya ipatikane kwa bei nafuu mno, sidhani kama 95% ya Watanzania wangeendelea kuharibu misitu ili wapate kuni/Mkaa wa kupikia.
Hali ambayo imesababisha sasa...
Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais wa USA ametembelea Korea Kusini.
=======
US vice president Kamala Harris arrived South Korea a...
Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri.
Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu)
1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja?
2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma.
Katika uchaguzi huo, Selasini amepata kura 173 kati ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili.
Kamati hizo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Makamu wa Rais...
Hawa wakubwa bwana wanapenda Sana maigizo. Wakiwa madarakani utadhani ni wa moja la hasha.
Fuatilia historia nyingi za Raisi na Makamu wake mara zote siyo nzuri.
Kwa Tanzania Makamu wa Raisi huchaguliwa Kwa mkakati maalumu na huwa siyo chaguo la Raisi aliyeko madarakani.
Tanzania makamu wa...
Katika siku za Karibuni, zimetolewa kauli mbili tofauti toka kwa viongozi wakubwa kabisa Katika Serikali yetu ya CCM.
Kwanza ilitolewa kauli na Makamu wa Rais, Dkt. Philipo Mpango, akiwa jijini Mwanza kikazi, ambaye aliagiza vyombo vyote vinavyozibiti maji ya kuoshea maiti yenye dawa ya...
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya Makamu wa Rais Dkt. Mpango kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanza ukaguzi...
Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’.
MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji.
Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa...
Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires.
Mtuhumiwa amenaswa na picha za video zilizokuwa mubashara akiwa na bastola kisha kuielekeza kwa...
Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake.
Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua.
Siwezi kuweka video au picha...
Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.