makamu

  1. Makamu wa Rais Mstaafu wa Marekani, Mike Pence atua Tanzania

    Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park. Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika...
  2. R

    Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile. Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha. Aliwatisha pia...
  3. Kama Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) katoa tu Tamko kwa 'Matrafiki' limetendeka, tunamuomba atoe na 'Matamko' na huku pia.....

    1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa. 2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama...
  4. Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

    Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo. Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
  5. Eng. Hersi usipigie debe mgombea mmoja kiti Cha makamu wako

    Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu...
  6. Makamu Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma kujihusisha mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4

    Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Singida, Manispaa ya Singida, Thomas Ngiracha, amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne (jina tunalihifadhi) wa shule hiyo. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph Shani na Mkurugenzi wa Shule, Matliga...
  7. Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  8. Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Rwanda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Madola

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. Malawi: Rais Chakwera amvua Mamlaka Makamu wake kwa kashfa ya ufisadi wa Tsh. bilioni 349

    Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh. 349,499,992,650 iliyohusiana na kandarasi za serikali 16 zilizohusisha kampuni zake 5. Ripoti ya...
  10. Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  11. Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  12. Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

    Kwa mtazamo wangu, naona kabisa Mama Samia hakupaswa kuwa kiongozi mkubwa wa kitaifa. Kauli zake, mwenendo na maono yake vinadhihirisha wazi. Ni kiongozi ambaye kwa kauli zake na maamuzi yake anaonesha wazi hakuwa na maono yoyote ya kuongoza taifa. Teuzi za kulazimishana hufanyika sana hasa...
  13. Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  14. Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

    Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
  15. B

    Makamu wa Rais alivyowasili nchini Uswisi

    21 May 2022 Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum. Agenda nyingi zitajadiliwa...
  16. Dodoma: Kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa 2022, leo Mei 19, 2022

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
  17. Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  18. Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

    Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya! Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
  19. L

    Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  20. Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…