Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola,Common Wealth Kanda ya Afrika kujeng a Dodoma.👇👇
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Bi. Salome Makamba, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika, ametangaza kuwa makao makuu ya CPA Kanda...