Katika mfululizo wa mapitio ya kitabu, 'I am the State: A President's Whisper from Chato' (Mimi ni Dola: Mnong'ono wa Rais kutoka Chato) leo tunaangazia sura yake ya pili inayozungumzia Chato kama kijiji ambacho kilikaribia kuwa makao makuu ya mkoa.
Kitabu kinaanza kwa kuelezea kulivyokuwa na...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania.
Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
Chama cha Chadema kimemaliza Utata wa kuwa na Makao makuu yasiyorudhisha ambapo hivi karibuni watahamia kwenye Makao makuu Mapya
Kwa muda mrefu Chadema imekuwa ikidhihakiwa kwamba ofisi zake za Makao makuu Ufipa st Kinondoni Shamba hazina hadhi
Source Mwananchi
==========
Dar es Salaam...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa.
Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la...
Moja kwa moja niende kwenye mada, leo nimebahatika kuangalia uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na mh.Mnyika!
Uchambuzi sina shida nao tatizo ni yale mazingira ilipo fanyika press. Yani wameweka meza nje afu nyuma ya ukuta umechoka balaa, podium yenyewe imepauka pauka yan leo ndo nimejua...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET).
Prof. Bisanda, ametanabaisha...
Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) umefunguliwa leo tarehe 13 March 2023 jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambapo ujumbe wa Tanzania unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina...
Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika jengo lao la makao makuu na kupaki magari.
Yaani sehemu ya Barabara ya Mtaa wa Mwangaza hapo...
Nisiwe na Maneno mengi lakini kiukweli hali ya hewa ya Dodoma inaumiza sana na mtu huwezi kuwa comfortable hata kidogo.
Yaani huu mji hata ulazimishe kupanda miti kiasi gani bado ni shida. Hata mwanga wa jua huku ni shida kwa jinsi unavyoumiza macho, yaani kila unayekutana naye kakunja uso na...
Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu.
Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati wa muundo wa Katiba yao. Katika majimbo yao yote 50, waliipa mji wao mkuu Washington DC utaratibu...
Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.
Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa.
Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
Ijumaa, Oktoba 28, 2022
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30, 2022 huku Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ndiye atakayekuwa mgeni rasmi.
Kulingana na taarifa...
Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo.
Ilikuwa starehe kubwa kwangu kunywa kahawa na Maalim na kuchekanae mfano tuko barzani tunapumzika.
Lakini tabu...
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI
Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi.
Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad.
Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana.
Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi...
Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana.
Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao.....
makombora ya HIMARS yanachana anga.
AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.