makarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  2. M

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko? Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
  3. Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

    Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
  4. Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi. Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
  5. Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

    Kama kichwa kinavyojieleza. Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie. Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani? Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
  6. Mbeya: Makarani wa Sensa wachunguzwa kwa Tuhuma za Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
  7. Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa. Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa. Nakusihi uonyeshe...
  8. M

    Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

    Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini? Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka. Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
  9. J

    Waziri Nape ahamasisha wananchi kutoa ushirikiano kwa Makarani wa Sensa 2022

    WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
  10. Kumbe makarani wa Sensa hamjalipwa hata Senti tano mpaka leo

    Hongereni kwa kazi nzuri makarani mliopo ktk semina ya Sensa japo nasikia hamjalipwa hata thumni mpaka Leo lakini mmekuwa wazalendo kweri kweriii. Yes pigeni kazi ndugu zangu kwa bidii taifa litajengwa na watu wenye moyo. Tunakumbushana tuu kuwa pamoja na kuwa wakati wa Magufuli tuliambiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…