Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali.
Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko?
Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi.
Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
Kama kichwa kinavyojieleza.
Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie.
Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani?
Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa.
Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa.
Nakusihi uonyeshe...
Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini?
Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka.
Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
Hongereni kwa kazi nzuri makarani mliopo ktk semina ya Sensa japo nasikia hamjalipwa hata thumni mpaka Leo lakini mmekuwa wazalendo kweri kweriii. Yes pigeni kazi ndugu zangu kwa bidii taifa litajengwa na watu wenye moyo.
Tunakumbushana tuu kuwa pamoja na kuwa wakati wa Magufuli tuliambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.