Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balazi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na uhamisho huo ni kama ifuatavyo:
A) Uteuzi na...
Ikichunguza kwa makini utagundua miaka ya hivi karibuni kumekuwa hakuna mabadiliko makubwa ya kiutawala kama miaka ya nyuma kabla ya hizi tawala mbili za hapa mwisho.
Hili jambo limefanya kuwe na shida na utemi kwa hawa watawala. Je ni kwamba CCM kwa sasa inachukua mlengo wa kikoloni zaidi ya...
Songea uko wanafunzi kachoma shule kisa anataka aende nyumbani likizo kupumzika huu ni mfano tu kuwa hawa watoto wanachoka wanaitaji kupumzika
Ratiba ya mihula ipo wazi kwa kueleza siku za masomo lakini imekuwa kasumba sasa kwa shule zetu kipindi cha likizo walimu wanakuja na utaratibu wao kuwa...
Fuatilia matangazo haya ya moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mw. Nyerere, Kibaha - Pwani.
https://www.youtube.com/live/6w995GGGrS4?si=8EBhTwCrgxbyhJNG
Samia...
Niwakumbushe tu Washauri wa viongozi kwamba, kwa ukubwa wa tuhuma za kuuzwa kwa Bandari, si rahisi tena kuleta jambo la kufifisha mjadala huu.
Kwahiyo tunawaomba msipoteze muda wenu kujaribu ku divert mjadala huu, hakuna atakayeingia mkenge.
Watanzania siyo Wajinga sana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.