makatibu wakuu wa chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu wa CHADEMA tokea chama kianzishwe mwaka 1992 mpaka sasa; Unamkubali nani zaidi?

    Tangu kuanzishwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 1992, nafasi ya Katibu Mkuu imekuwa na mchango mkubwa katika kusimamia shughuli za kila siku za chama, kuratibu utekelezaji wa maamuzi ya uongozi na kuendesha sekretarieti ya chama. Hawa ni makatibu wakuu wa CHADEMA tangu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, kitendo cha Mnyika kususia Mdahalo Kwa sababu Dkt Nchimbi ana udhuru ni cha Kiungwana?

    Kwanza ikumbukwe kuandaa Mdahalo ni gharama! Turudi kwenye mada, Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesusia Mdahalo Kwa sababu Dr Nchimbi hajahudhuria hali iliyopelekea Makatibu Wakuu wa CUF na ACT Wazalendo nao kususia wakimuunga mkono Mnyika Je kitendo cha Mnyika kususia Mdahalo ni Cha...
Back
Top Bottom