Mwanza. Swali la Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina limewasha upya moto wa ahadi ya malipo ya mabilioni ya shilingi kutokana na malimbikizo ya kodi kutoka kampuni ya Barrick Gold.
Maswali ya waziri huyo wa zamani wa mifugo na uvuvi bungeni, yameibua mjadala uliolenga kupata majibu ya Serikali...