Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko...
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.
Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
Wanajamvi, nadhani suala hili, halikuzungumziwa vya kutosha hata kidogo. Lissu yeye alishaumizwa na wengine walitishika kabisa kulizungumzia!
Hata hivyo, bado limezungumziwa sana na makada wa CCM hata humu ndani. Mfano kina Pasco! Lakini kwa namna ya uongo na propaganda nyingi.
Ripoti yenyewe...
Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
Mnakumbuka sakata la makanikia mwaka 2017 na jinsi lilivyozua mtafaruku dunia nzima na kupelekea serikali kuzuia kusafirishwa nje ya nchi udongo wenye dhahabu.
Yalikuwepo makontena takribani 277 yaliyo na dhahabu kiasi cha tani 7.8 za dhahabu kwa kila kontena.
Sasa mambo yamerudi kama zamani...
Jela na nje ni ideology watu wanazopambania kurahisisha maisha ya watu... Sifa ni JELA kubwa Sana ambalo linatakiwa kupambaniwa kupunguza kila siku...
Waandaa wa Titanic Tanga wametoa report baada ya hapo walianza kucheza taalabu
Walikuwa wanawaza Wakala wa Mkonge Tanzania (managers...
Wakati akiongea na shirika la habari ya Uingereza liitwalo Reuters, Mkurugenzi wa Kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amesema Makontena ya Makinikia yaliyozuiwa na serikali ya Tanzania Bandarini Dar es Salaam yana thamani ya Dola za Kimarekani milioni 280 ambapo ni sawa na takribani shilingi...
Nikukumbushe tu Rais Magufuli mwaka 2017 wakati unapokea taarifa ya Prof. Mruma lalamiko lako kubwa sana na hata watanzania wakakuamini (Isipokuwa mimi) ni kuhusu kuchenjulia makinikia nje ya nchi.
Nakumbuka sana ulimlaumu sana Prof. Muhongo ukafikia hatua yakumwambia kuwa Prof. mwenzake yaani...
Amenena shangazi Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya serekali jana kuingia mkataba na "beberus" Barrick.
Tunaendelea kuliwa kama nchi..... au tutaliwa zaidi chini ya awamu ya 5 it seems. Hiki chama (CCM) nina kadi yake but moyoni kishanitoka kabisa.
Sitii neno zaidi hapa...
Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli!
Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.