Hi nchi Ina vituko sana
Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga
Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
Wakuu
Mbowe ndio kiongozi pekee wa chama cha siasa hapa nchini anaelindwa na makomandoo.
Je hao makomandoo wa mbowe wanalipwa na nani na wanalipwa kutoka chanzo gani cha mapato?
Wadau hamjamboni nyote?
IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon.
Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF.
Walihojiwa mara moja baada ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon
Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Israeli troops have entered Hezbollah...
Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa
USSR
Usiseme huu ni utoto.
Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000.
Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa.
Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea...
Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.
Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
Nov 05, 2023 06:50 UTC
Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina...
Unaambiwa tokea Jumatatu waliamua Kukesha kuulinda Uwanja Wao wa Highland Estates Mbarali na Kuwakatalia Waliowafunga wasiingie Uwanjani Kuroga na Kufukia Mauchawi yao.
Jana Jumanne Makomandoo wa Ihefu FC waliokuwa Wakiulinda Uwanja walionyeshwa Fedha ili Wawaruhusu Waganga na Wachawi Wao (...
Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali?
Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
Marekani yaripoti kuwa makomandoo 60 wa Ukraine leo asubuhi wamejaribu kufanya shambulio la ghafla la kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine unaomilikiwa na majeshi ya Urusi toka mwezi March. Urusi imewanywa wotee.
Jaribio hilo lililofeli limefanyika wakati wataalamu wa...
Kuna nchi (taifa) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000.
Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho?
Bahati mbaya na nchi yenyewe...
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani.
Karibuni Sana
Mungu awabariki note.
Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa...
I mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not impressed at all!
Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa Yanga.
Huyu hapa ofisa huyo anaelezea kilichotokea kabla ya mchezo huo wa Azam Sports Federation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.