Mie sio mwanasheria Ila iko wazi Luten Urio ni mtu mwenye roho ngumu na ovu sana. Hajawatendea haki wanafunzi wake wa zamani jeshini. Amewatoa hawa watu kwenye shighuli zao binafsi za kujitafutia baada ya kuondolewa jeshini,
Kawadanganya eti kuna kazi ya ulinzi kwa Mbowe kwa maneno yake...
Jana nilikuwepo Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuendelea kufuatilia kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Leo sikuweza kwenda kwakuwa ninatarajia kusafiri hivi punde. Nimemsikia na kumuona Luteni Denis Urio akitoa ushahidi wake. Nimemsikiliza kwa makini na kwa...
Shalom from Jerusalem,
Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.
Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.
Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita?
Nikaona ngoja nicheck wenzao...
Mmeshaambiwa jana kuwa mpaka sasa kuna Vyuo Vikuu 30 badala ya Chuo Kikuu Kimoja ( 1 ) tu wakati wa Uhuru. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni Nongwa!
Mmeshaambiwa jana kuwa sasa tuna Balozi 44 na baadae akasema tuna Balozi nchi zote duniani. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni...
Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo.
Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa machoni na kutishwa na bastola iliyoko kiunoni mwa polisi mpaka wakasema wasiyopaswa kusema.
Kama...
Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo.
Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda kuja Kutuvamia na hata Kutupiga taarifa iwafikieni kuwa wana CHADEMA wote Siku hiyo tumekubaliana...
Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman
Nov 03, 2021 11:25 UTC
Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman
Operesheni makinii na iliyochukiwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.