Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, akizungumza na waandishi wa habari leo, Aprili 27, 2026, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi liliwakamata watuhumiwa 37 katika eneo la Ubungo mnamo Aprili 20, 2026, kwa makosa mbalimbali ikiwemo Makosa ya Kimtandao kama Kutoa...