MAKOSA YANAYOFANYA WATU KUOZEA JELA NDIYO YALIYOACHWA KATIKA MABADILIKO YA SHERIA
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Makosa ya Uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha, Ugaidi, Mauaji, ikiwa ni pamoja na makosa ya Kubaka, wizi wa kutumia silaha, kumiliki silaha kinyume cha sheria, kumiliki...