makosa

Makossa is a Cameroonian style of urban music. Like much other late 20th century music of Sub-Saharan Africa, it uses strong electric bass rhythms and prominent brass. In the 1980s makossa had a wave of mainstream success across Africa and to a lesser extent abroad.
Makossa, which means "(I) dance" in the Douala language, originated from a Douala dance called the kossa. Emmanuel Nelle Eyoum started using the refrain kossa kossa in his songs with his group "Los Calvinos". The style began to take shape in the 1950s though the first recordings were not seen until a decade later. There were artists such as Eboa Lotin, Misse Ngoh and especially Manu Dibango, who popularised makossa throughout the world with his song "Soul Makossa" in 1972. The chant from the song, mamako, mamasa, maka makossa, was later used by Michael Jackson in "Wanna Be Startin' Somethin'" in 1983. Many other performers followed suit. The 2010 World cup also brought makossa to the international stage as Shakira sampled the Golden Sounds popular song "Zamina mina (Zangalewa)".
Makassi is a lighter style of makossa.

View More On Wikipedia.org
  1. Tundu Lissu alikuwepo, alifanya mikutano, ila hakuwa anavuma kama sasa, CCM ilifanya makosa kumtoa Makonda kwenye uenezi!

    Siasa ni kama biashara, huwezi kupeleka viatu kwa wamasai ukashindane na wanaouza ndala za mataili, itakuwa ni ujinga Vile vile huwezi kupeleka sembe mahali ambako watu wanamahindi yao na huyatumia kula dona, itakuwa wendawazimu wa kiabiashara Wananchi wengi wanamkubali Makonda, maana ndiyo...
  2. M

    Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

    Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia...
  3. Pre GE2025 Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
  4. Makosa ya kiufundi kumpindua Rais wa DRC ni haya

    Nitaandika haraka haraka kama mtu niliwahi soma kitabu maalumu kwa ajili ya kufanya mapinduzi ya nchi kilichoandikwa C.I.A chini ya mwandishi edward luttwak kwa jina practical handbook for coup detat kitabu hii cha mwaka 1968 ndo huwa kina somo ili kufanya mapinduzi yafanikiwe...
  5. T

    Wakati mwingine makosa tunayofanya maishani hutufanya tujifunze na kuwa bora zaidi

    When milk gets bad, it becomes yogurt. Yogurt is more valuable than milk. Even if it gets worse, it turns into cheese. Cheese is more valuable than both yogurt and milk. When grape juice goes sour it turns into wine which is more expensive than the juice itself. You aren't bad because you made...
  6. M

    UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa wao si wanene, kulinganana utafiti wa Kiitaliano ambao uliangalia mafuta ya mwili badala ya...
  7. Nani mwenye makosa?

    Gen Z katika ubora wetu. Mungu atusaidie kwakweli maana tuendako sijui itakuwaje.....
  8. Sikuona makosa ya Kennedy Juma kwenye goli la pili la Namungo

    Naona kila mmoja anamnyoshea kidole Kennedy Juma kuwa ndio aliyefanya makosa kwernye lile goli. Pengine Kennedy ana nyota mbaya ya kutopendwa na wanasimba lakini kwa goli la jana halikuwa kosa la Kennedy Juma bali ni la kipa Ayoub. Kipa alitoka golini kwake kufuata mpira pasipo mawasiliano...
  9. Pointi 10 Katika Ujenzi, Makosa katika Ujenzi

    MAKALA YA 10 Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo . 1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na...
  10. Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800. Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa. PIA SOMA -...
  11. Watu wenye kiburi wanapofanya makosa huwa hawakubali kuwa wamekosea

    Huwa wapo tayari kufa njaa kuliko kuomba msaada. Huwa wapo tayari kufurushwa katika nyumba zao wenyewe kuliko kwenda kuomba msaada wa dhamana kwa ndugu zao,kwa sababu huona kwenda kuomba msaada ni ishara ya udhaifu. Wenye kiburi ni wabinafsi sana kuanza kufanya mapenzi na wenza wao. Wana...
  12. Nani mwenye makosa kesi hii ikiwekwa mezani?

    Nipo kwenye kampuni fulani, kila siku nakusanya cash ifikapo jioni nafunga hesabu zangu namkabidhi boss.shida ni kwamba boss ajawahi kuhesabu pesa ninazompa kila siku, ukifika mda wa makabidhiano utasikia tu nakuamini weka kwenye droo, Mimi akinambia hivyo naziweka lakini moyoni silizikagi na...
  13. Hivi ni kweli TPDC wanasambaza LPG? Au kuna makosa katika uandishi?

    Soma hapa: TPDC surveying LPG piping viability in Dar es Salaam By Francis Kajubi , The Guardian Published at 09:14 AM Apr 05 2024 TANZANIA Petroleum Development Corporation (TPDC) in collaboration with TAQA Dalbit Tanzania Limited is conducting a survey on the actual demand for liquefied...
  14. Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

    MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake! Kwa Lugha...
  15. Gamondi anafanya sana makosa kumtumia Pacome ilihali ni majeruhi

    Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB. Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha kidonda mechi na Al Ahly. Tukimkosa Pacome na Aucho hatuwezi ipa upinzani Mamelod.
  16. K

    Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

    Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake. Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa...
  17. Makosa makubwa; Nembo ya Taifa imebadilishwa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shule ya Msingi

    Nikisema imekosewa siyo kweli ujue kukosea ni kwa bahati mbaya lakini hiki kilichofanywa kwenye mihutasari mipya ya masomo Shuleni inaonekana kimekusudiwa kabisa na ndiyo maana nimesema wamebadilisha siyo wamekosea! Hiyo nembo nimeangalia nimeona ina makosa matatu pale kwenye bendera ya taifa...
  18. Hivi kwanini likifika suala la kuzungumzia imani za dini zina makosa fulani watu ufahamu unapungua

    Tuna fahamu asili za dini zipotoka kuna vitu vilikuwa havipo ila tuna lazimishwa kuvitambua vitu vyao ambavyo sisi huku havipo. Mfano chakula kama tende, kitimoto, ngamia na n.k. NChi ya saudia dini ilipotokea ni jangwa na nguruwe kuishi jangwani ni ngumu zaidi ya ngamia. Kama hizi dini mbili...
  19. R

    Niliamua kuishi kama Lowassa miaka 24 iliyopita, nimetambua sikufanya makosa. Nipo njiani kwenda Monduli

    Mwaka 2000 niliamua kuishi kama Lowasa, nilishawishiwa sana na upendo uliokuwepo ndani ya wana CCM na jamii dhidi yake. Kuna wakati nilichukia matendo yake hasa pale alipokuwa akifanya kampeni za Arumeru dhidi ya aliyeelezwa kuwa ni mkwe wake. Lakini baadaye niligundua kwamba kosa halikuwa lake...
  20. Video: Nani mwenye Makosa kwenye hii ajali ya Bodaboda?

    Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku. Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…