Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi.
Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
"....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu."
"....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali;
1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari.
2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
Katika suala hili la makubaliano ya uendeshaji ya bandari Kati ya Serikali ya Tanzania, nimegundua kuna makundi kinzani yanayokinzana juu ya Jambo hilo. Na haya ndio makundi:
Kundi la wasiojua kabisa:
Kundi hili ni la bendera fuata upepo, lenyewe lipo pande zote mbili linaokoteza ya mtaani...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" kuhusu jambo lolote lenye maslahi makubwa kwa taifa letu liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii.
Mada ya leo ni kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu tukufu, limeridhia...
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
Kunapo kuwepo na makubaliano ya pande mbili hususani katika minority point of view. Tulitegemea Bunge liwe sehemu ya wabunge kuchambua maelezo ya makubaliano na kuyawakilisha kwa niaba ya wananchi.
Lakini cha kusikitisha, leo katika bunge, wabunge wote wa CCM kujikita katika kusifia, ku attack...
MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023
SEHEMU YA KWANZA...
azimio la bunge
bandari
basi
bila
dp world
dubai
hata
kamati
kimaendeleo
kubwa
kushirikiana
makubaliano
serikali ya tanzania
tanzania
tunaweza.
uboreshaji
ushirikiano
watanzania
world
Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW.
Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata.
Wapo wanaosema...
Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.
Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya.
Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA
Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini...
Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha?
Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine...
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed, muda mfupi baada ya kuzisaini.
Ikiwa ni makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao...
Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23.
Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania.
Ushirikiano huu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Indonesia imemalizika kwa kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme, mafuta na gesi.
Makamba kwa nyakati tofauti alikutana na Waziri wa Nchi anayeratibu biashara zinazomilikiwa na Serikali, Luhut Pandiaitan, Waziri wa...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepeleka shutuma hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi akidai anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya Nchi hizo unaoendelea.
Rais Kagame amedai licha ya kufanya mikutano na kukubaliana lakini Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.