Marekani hawajawahi kupata rais mpuuzi, mpumbavu na kichaa kama Donald Trump
Huyu Bwana akili zake hazikua nzima, ni Rais aliyeitia dunia hasara, na aliyewatia Marekani hasara
Jamaa alianzisha vita ya biashara na China matokeo yake yakaathiri hadi za dunia ya tatu, Shipping cost ziliongezeka...