Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu.
Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
Wanabodi,
Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,
Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,
Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila...
Wakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia wamebadilisha frec
DITOPILE :RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA DODOMA
MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa huo ambapo Vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kwa asilimia 20 ndani ya mwaka mmoja...
"Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.