makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi. Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa...
  2. Ushauri: CHADEMA andaeni maandamano kupinga Kikokotoo tu kwa idara zote na mtaungwa mkono

    CHADEMA kama kweli maandamano yenu ni ya dhati toka mioyoni basi maandamano yatakayofuata kuanzia maandamano yajayo fanyeni maandamano makubwa, kushirikisha taasisi zote za serikali ambazo zimeathiriwa na kikokotoo japo taasisi hizo haziwezi kushiriki moja kwa moja ila zitawaunga mkono kwa namna...
  3. Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

    Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
  4. Haya ni makosa makubwa mawili yanayofanywa na wajasiriamali wengi na kuishia kujuta.

    Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa wanaojiita Motivational speakers na life coaches. 1. Kudhani wanaijua biashara na kutojifunza zaidi Huu...
  5. Tuacheni uzinifu, madhara yake ni makubwa sana hata ukitoa magonjwa yaliyopo

    Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi. Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo...
  6. L

    Dkt. Mwigulu Nchemba yupo kimya kwa sasa anameza matonge makubwa makubwa!

    Mjanja sana huyu jamaa! Baada ya kuingia msituni na kudodosa kidogo nikagundua nyeti mabasi yake ya Esther kwa mwezi yanaingiza faida TU inayokadiriwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 80 - FAIDA tu baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Mwaka 2024 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa...
  7. A

    KERO Dar: Hali ya Barabara ya Mbezi Juu Makonde kuelekea Baraza la Taifa la Mitihani ni masikitiko makubwa

    Hali ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani kupitia Makonde, Mbezi Juu, Dar es Salaam inasikitisha sana na nashindwa kuelewa Serikali inawaza nini kiasi cha kushindwa kabisa kuirekebisha hii barabara na hata kuiwekea lami ukizingatia inaelekea kwenye moja ya Taasisi zake kubwa kabisa...
  8. Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
  9. IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

    Wanaukumbi IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam. Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
  10. Rais wetu Samia anasifiwa sana, tena anafanya mambo makubwa kimya kimya, ni yepi hayo?

    Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo, lazima uishinde njaa kwanza na ndipo utapata balansi ya fedha za kuanzisha vitu vingine kama kujenga...
  11. Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  12. Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  13. Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  14. January 1964, maasi ya jeshi na mwaka wa matatizo makubwa Tanganyika na Afrika Mashariki nzima!

    https://youtu.be/NlMzNWph_tE?si=ZEn2izCLvieZG_Th Vijana sasa hivi hawajuia yaliyo tokea miaka 60 iliyopita. Namshukuru Mungu, mimi nilishuhudia hata kama ni kiduchu na nilikuwa mdogo sana. Tukiishi Temeke miaka hiyo, na kambi kuu za jeshi Mgulani zilikuwa karibu sana. Nilikuwa na miaka saba...
  15. X

    Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

    Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji. Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors) ●TSMC Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao...
  16. U

    Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika? Lugha zisizo na staha hazikubaliki Niwatakie sikukuu njema ya Noel
  17. Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  18. Baada ya chama anafata Phiri

    Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
  19. Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

    Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni. Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja. Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
  20. Aliyewaambia hatupendi matango makubwa kawadanganya

    Kuna pahala nimesoma eti yule kaka kaandika ya kwamba mwanaume kuwa na uume mkubwa ni mateso tu kwani wanawake hawapendi! Weeeeee thubutu! Nani alikwambieni hatupendi naniliu kubwa? Huyo aliendika huo ujumbe wenda yeye anako kananiliu kadogo ndo maana anataka sapoti ya wenye vidogo wenzie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…