Eneo linauzwa Makumbusho.
Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower.
Sifa za Eneo:
Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road).
Liko barabara ya kuelekea kituo cha Daladala Makumbusho.
Linafaa kwa matumizi yote, biashara au makazi.
Ukubwa wa Eneo: SQM 988.
Nyaraka...