makumbusho

Makumbusho (Kata ya Makumbusho, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. Mikocheni and Mwananyamala form the ward's northern and eastern borders, respectively. The ward is bordered to the south by the wards of Ndugumbi and Magomeni. Tandale and Kijitonyama wards are in the west. According to the 2012 census, the ward has a population of 68,093.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Makumbusho ya Sanxingdui yarejesha ustaarabu ambao haukujulikana hapo awali

    China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi vinapatikana kwenye maeneo mbalimbali ya akiolojia hapa China. Ikiwepo Guanghan takriban kilomita 40...
  2. C

    Daladala za Mbezi mwisho - Makumbusho / Kawe kupitia Goba nazo zina wale dunga dunga?

    Yaani nimejikuta nacheka sana ndani ya daladala baada ya kumuona mwamba akigandamizia zipu yake kwa abiria wa kike aliyekuwa mbele yake na kila dada wa watu alipokuwa akisogea mwamba nae alikuwa akiambaa nae tu na chaki mpaka dada alipomshtukia na kumgeukia huku akimsonya huku mwamba akijikausha...
  3. O

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
  4. Damaso

    Ifahamu Meguro Meguro Parasitological Museum: Makumbusho ya Vimelea.

    Habarini Wakuu! Pole kwa wagonjwa wote Mungu aendelee kuwapambania na mkapate afya njema! Kwa wale ambao wapo wazma basi Kazi iendelee. Japani ni mojawapo ya nchi zenye ustaarabu wa kale wa pekee sana na ina historia nzuri na tofauti na nchi zingine duniani. Mandhari ya kustaajabisha na...
  5. JanguKamaJangu

    Ujerumani kushirikiana na Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji

    Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu na kwa vizazi vijavyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Dkt. Frank-Walter Steinmeier alipotembelea...
  6. Eli Cohen

    Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

    Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho. What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc ⁸
  7. Suley2019

    Rais Mwinyi akutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho Oman

    Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amekutana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, Jamal al-Moosawi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 10 Oktoba 2023. Rais Mwinyi amemkaribisha Jamal al-Moosawi Zanzibar katika kile kilichotajwa kuwa ni fursa za kuendeleza ushirikiano katika...
  8. Ngaliwe

    Machifu wa Ufipa waomba Makumbusho ya Wafipa, wakimsimika Uchifu Chongolo

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa. Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu...
  9. Brothers Karamazov

    Simba muwekeni kwenye eneo lenu la Makumbusho Athuman Mlenda, shabiki wenu aliyejiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la maji moto mwaka 1975

    Tabora si haba kwa historia. Mwaka 1975, Simba ilipigwa Na Yanga fainali ya Mapinduzi. Sasa Pale choma chankola, Igunga. Babu yake na Aden Rage, Mzee Dahel, alirecord matangazo ya ule mpira. Kisha Mzee akachukua bus mbili na kujaza mashabiki wa Yanga na kuanza kuzunguka mjini na spika zao...
Back
Top Bottom