Hawa ndio watumishi wa umma wenye mambo ya ajabu na ya kustaajabisha
Walimu
Watendaji wa vijiji
Maafisa polisi
Katika Makundi haya ndio watu utakuta wanaishi kwa Madeni from January to December
Hawa ni watu walio nyuma kiteknolojia yaani ni rahisi kumkuta mwalimu anamiliki smart phone kwa...