Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Hawa ndio watumishi wa umma wenye mambo ya ajabu na ya kustaajabisha
Hawa ni watu walio nyuma kiteknolojia yaani ni rahisi kumkuta mwalimu anamiliki smart phone kwa ajiri ya kupiga na kupokea simu na akinunua PC ataitumia kwa ajiri ya kuwekea movies tu
Ni watu ambao hawajui kama Kuna vitu vinaitwa websites, browser AI nk
Ni watu ambao akikutana na AI generated videos anaiamini 100% na anakuja kukushirikisha taarifa hyo
Ni watu ambao wanaoongoza kwa kutapeliwa na vishoka wa tuma kwenye namba hii lakini ata baada ya kustaafu lazima wapigwe kwenye mafao yao
Kwa watumishi wa kike wa kada hizi wengi ni single mothers na wamezalishwa na wanaume wa ajabu ajabu
Lakini pia kwasababu ya kuwa nyuma kiteknolojia ni rahisi kukuta anaulizia jambo la kiutumishi kwenye pages za Facebook ambazo sio pages za wizara husika .
Serikali inatakiwa kuongeza jitihada katika kubadilisha haya makundi
- Walimu
- Watendaji wa vijiji
- Maafisa polisi