MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Sio sasa kaka ilikuwa zamani hiyo .Kuhusu walimu sio kweli
Walimu wanajua shida yao inayowakabili na ndio maana wanatumia akili nyingi sana kujiwekea malengo.
Ajabu sasa mwalimu huyo unayeona na kumdharau akistaafu unakuta ana standard life kama wewe unakuta amejenga nyumba yake ya kuishi.Kwa wengine hata na usafiri hata kama ni IST.
walimu kile kidogo wanachopata wanatumia akili kubwa sana kukifanyia mambo.Walimu hawaoni aibu kufanya petty business hata kuuza ubuyu au genge mtaani.
Sasa twenda kwa wenzangu mimi ma polisi.Hawa jamaa wakistaafu mtaani unaweza kuwaonea huruma.
Kutokana na nature ya kazi yake kuishi kwa dhuluma akijua hata nikitumia leo kesho nikimkamata mtu barabarani nitapata au nikimkamata mtu anauza gongo au bangi nitamtoa kidogo nipate hela.
Yuko polisi mmoja wa barabarani mdada alishawahi niambia mimi nikinyanyua mkono wangu juu tu nikishusha inaingia 30,000.Kutokana na vi tips wanavyopata inawafanya kujisahau sana kujipanga na akistaafu bado anakuwa na ile hali ya kujiona yeye bado ni askari hii hali inawachukua muda mrefu sana kuwatoka.
Ukiwakuta mtaani hasa wale wenye vyeo vya chini maisha wanayoishi ni ya taabu na mashaka kuliko walimu.
Inshort kazi ya upolisi kwa nchi za Africa kasoro Namibia na Botswana inakuwa kama ni ya laani kidogo kutokana na karma za watu waliowafanyizia.
Niwieni radhi kama nitakuwa nimewagusa kwenye mshono mapolisi
Alafu mleta mada kwenye watu wapuzi wapuuzi ,embu waondoe mapolisi kwenye ujinga wa namna hiyo .
Ninyi mnazungumzia askari wa kipindi cha afande Tibaigana sio leo wa Muliro ni watu na elimu zao ,wametembea na kuizunguka dunia hivyo wanayo exposure ya mambo mengi kuliko mnavyodhani ndugu