Nipo tayari kusahishwa,
Naomba nieleweke, hizi ni tathmini na sio ukabila, Tanzania hatuna ukabila
1. Wazanzibari - kuna mgao katika madaraka, vyeo, ajira, n.k kati ya bara na znz kwasababu ya muungano. kwa hio usidhani wanapendelewa ukiwakuta vyeo vya juu polisi, jwtz, usalama , ubalozi...