Waasalam
Anaandika,
DaVinci XV,
Naam
Inajulikana na kuelezwa dhahiri katika Imaani na maandiko tofauti tofauti ya kwamba miongoni mwa vitu vikubwa na vitakatifu basi huwezi kuacha kulitaja sanduku la Agano , au Sanduku la Ushuhuda kama wengine wanavyoliita.
Utakatifu wa Sanduku hili...
Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga.
Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
Makundi makuu matatu, yanayoweza kukuumiza kwa kiwango kikubwa wakati wowote bila wewe kutarajia/kutegemea:-
Marafiki wako wa karibu
Hawa wakiamua kukuumiza, watakuumiza kweli;kwa sababu wanajua uimara wako pamoja na udhaifu ulionao.
Wanaweza hata kuharibu familia yako kwa kutembea na mpeni...
Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa?
Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na...
Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa.
Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
Habari ndiyo hiyo! Wazee wa nusu pointi huko CAF kesho kutwa kinanuka! Poleni maana Jumapili ya tarehe 23/10/2022 hakuna jinsi, inabidi tutoneshe tu hicho kidonda toka Sudan!!
Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini.
Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo
Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini.
Msisime sikuwaambia.
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa muda kwenye viti ambavyo havina teknolojia ya kuepukana na tatizo hilo.
Vilevile, imebainishwa...
Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu.
Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza na simba, ni timu ya kawaida ambayo kwa jicho la kiufundi nimeona bado inatafuta muunganiko baada ya...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka
Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam.
Amesema: “Ni wakati...
Kundi la Nchi Saba (G7)na Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) hivi karibuni kwa nyakati tofauti vitafanya mikutano ya kilele. Nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinachukulia makundi hayo mawili kama majukwaa ya kupinga nchi nyingine, kitendo kinachokwenda kinyume na...
Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu bei za hisa ni nafuu ukilinganisha na bei za ardhi na majengo.
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo...
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅
Wamachinga ✅
Wanasiasa / Wanachama wao✅
Viongozi wa dini ✅
Bodaboda ✅
Wanawake ✅
Vijana ✅
Wazee ✅
Walemavu...
Kwa sasa siasa za CCM zimeghubikwa na makundi makubwa ambapo kundi la serikali ya awamu ya sita hasa vijana wake wanaoamini CCM ni ya kwao akiwemo NAPE MOSSES NNAUYE wanaweza kuligawa taifa kwa maneno yao kila siku kutoa maneno ya dhihaka kwa kiongozi mkubwa aliyeondoka tarehe 17 March 2021...
Tangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano
1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia imewapitia kushoto au ni ile historia waliyoisikia vijiweni tu kwa watu ambao hawajakanyaga hata darasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.