Kampeni ya 'Tone Tone' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyoanzishwa usiku wa kuamkia Februari 28, 2025, imefanikiwa kukusanya shilingi milioni 64.3 kutoka kwa Watanzania.
Na ikumbukwe kila baada ya siku saba, Kutakua na taarifa ya makusanyo haya.
Naomba niweke thread hii ili...
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.
Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka...
Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka.
Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
Salaam, shalom!!
Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt?
Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%...
Namna pekee itayoweza kutuamsha kama nchi toka usingizini ni kujiuliza maswali kadhaa…
1.) Tanganyika inakopa jumla ya Trillion ngapi kwa mwaka?
2.) Tanganyika inalipa madeni Trillion ngapi kwa mwaka?
3.) Tanganyika inakusanya mapato ya ndani Trillion ngapi kwa mwaka?
Majibu
1.) Tangu 2021...
Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar.
Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa...
Novemba 22, 2023 katika Mahakama hiyo mbele ya Mhe. W. YONA SRM, imeamriwa kesi ya CC. 40/2022 Jamhuri dhidi ya THEONEST RWELAMIRA CLEMENCE ambaye ni Mtendaji wa Kijiji cha Kasambya- Wilaya ya Misenyi.
Imemtia hatiani kwa kosa la kutotii wajibu wa kisheria k/f 123 Penal Code kwa kushindwa...
Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona mapato na matumizi ya pesa zetu zinaendaje.
Naomba kufikisha ujumbe huu kwa Serikali Kuu kupitia...
Anonymous
Thread
dalili
dar
karume
makusanyo
mapato
matumizi
rushwa
soko
soko la karume
takukuru
Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki.
Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA
Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
Serikali ya Tanzania inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya nje kwa asilimia 30.8. Kwa Mwaka 2023/24 Serikali inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya ndani kwa asilimia 23.5
Serikali inafanya hivyo kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.