makusanyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sunk Cost Fallacy

    Hongera Rais Samia Kwa Ukusanyaji wa Mapato kwa Asilimia 99% kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%.. Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali kutekeleza ajeti yake ya mwaka 2021/2022 kwa zaidi ya asilimia 95%.. Bila shaka Rais Samia anazidi kuonesha...
  2. ommytk

    Hivi TRA kwa sasa hawatangazi makusanyo kila mwezi?

    Mimi sijui zinanipita habari hizi maana sijaona muda TRA wakitangaza makusanyo ile kila mwezi kama zamani au utaratibu umebadilika?
  3. Tomaa Mireni

    SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  4. The Sunk Cost Fallacy

    Makusanyo ya Mapato, Jiji la Tanga Laongoza Kitaifa

    Bila kupoteza muda, Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa Kukusanya mapato kwa Asilimia 113% na kuyapiku majiji ya Dsm,Dodoma na Mwanza. Mambo yanazidi kwenda kwa Kasi sana 👇 --- WAZIRI wa TAMISEMI Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya mapato kwa mikoa ya Tanzania Bara katika mwaka wa...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

    Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea. Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na...
  6. Don Moen

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Masauni fuatilia pesa za makusanyo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama. Zimepigwa?

    WAZIRI ENG. MASAUNI Naomba nikurudishe nyuma kidogo, miaka miwili nyuma ukiwa naibu waziri wa mambo ya ndani, ukiwa kama mwenyeketi wa usalama barabarani uliagiza kila mkoa ukusanye fedha za WIKI YA NENDA KWA USALAMA ambazo hutozwa kuanzia tsh 3,000 hadi 5,000 kwa kulingana na ukubwa wa gari...
  7. Roving Journalist

    TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  8. chiembe

    Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!

    Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi? Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
  9. babi

    Davis Mosha akusanya zaidi ya milioni 400 kanisa la KKKT-Arusha Mjini

    Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne. Akizungumza katika Hafla...
  10. Political Jurist

    Rais Samia aweka Rekodi Makusanyo ya Kodi 1.9 Trilioni Mwezi Septemba 2021

    MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA REKODI MAKUSANYO YA KODI 1.9 TRILIONI MWEZI SEPTEMBER Na, Mwandishi wetu, Dar es salaam Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kuweka rekodi ya makusanyo ya Tshs. 1.9 trilioni kwa Mwezi September pekee. Taarifa hii ipo kwa usahihi...
Back
Top Bottom