Habari
Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi.
1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura...
Maana ya Talaka
Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”.
Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana.
Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na muitikio uwe wa namna hii.
Tumeona uko nyuma pamoja na lawama walizoshushiwa Kikwete na Magufuli...
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!
Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna...
Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo.
Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN...
Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo.
Angalia hapa
Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake.
Yaani Mimi ndiyo Baba...
Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama!
Hakusoma lolote kuhusu wale wananchi wengine ambao wao Kutwa kucha wanasema Kinyume chake yaani wanasema kuwa...
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo...
Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe.
Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ?
Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ?
tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.
1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
“Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma.
Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua...
Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena.
Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.