malaika

Malaika Arora is an Indian actress, dancer, model, VJ, and television presenter. She is most famous for her dancing in the songs Chaiyya Chaiyya (1998), Gur Naalo Ishq Mitha (1998), Maahi Ve (2002), Kaal Dhamaal (2005) and Munni Badnaam Hui (2010). She turned into a film producer in 2008, with her former husband, Arbaaz Khan. Their company Arbaaz Khan Productions has released films like Dabangg (2010) and Dabangg 2 (2012).

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, kwa kufanya makosa...
  2. Da Vinci XV

    Huyu Malaika anayetenganisha Dunia ya Uhai na Dunia ya Wafu (Kuzimu)

    Wasaalaam Kipindi kile tungali wadogo ,tuliishi kwa ngano na hekaya za kutisha kutoka kwa wazee wetu , hadithi kedekede katika mjumuiko mmoja wa wajukuu na watoto kadha wa kadha, wakimsikiliza mzee mmoja aidha awe na sharafa zenye mchanganyiko wa Weusi na weupe unaoleta ukamilifu wa Rangi ya...
  3. mediaman

    Kwa mara ya kwanza nimemuona Malaika

    Nilikuwa nasikia tu na kusoma vitabu kwamba malaika wapo, na kwamba kuna watu wametokewa na malaika, lakini sikuelewa sana. Sasa na mimi kwa mara ya kwanza nimethibitisha malaika wapo. Mwezi uliopita niliugua sana nikawa katika hali ya kufa. Nilikuwa sina hamu ya kula chakula, nilikuwa nasikia...
  4. P

    Rais Samia kusema yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja sio tiketi ya JPM kufananishwa na malaika, alikuwa mwanadamu tu.

    Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
  5. Komeo Lachuma

    Mnawasumbua Malaika na Mwendazake huko aliko. Amueni moja ili naye atulizwe. Inaudhi sana

    Thread hii inasema alikuwa mtu mwema awekwe mahali pema. Malaika wanamchukua wanaenda mweka atulie. Kabla hawajarudi inaandikwa nyingine ya kumponda na kusema alikuwa Shetani Malaika wanambeba tena wanamkimbiza Jehanamu. Wakifika kule wanaibuka tena watetezi wake wanasema alitenda mema...
  6. moyafricatz

    Hivi Malaika wana mabawa?

    Ukiangalia picha hii utaona kuna watu wenye mwonekano wa kibinadamu wakipuliza tarumbeta huku wakiwa na mabawa (wings) makubwa kwa pembeni. Swali ,je malaika hawa wana mabawa kama maandiko yasemavyo? Je bila hayo mabawa hawawezi kuruka ama kupaa hivyo kupoteza cheo cha malaika? Je kama mabawa...
  7. Abdallahking

    Malaika Wa Shetani

    Simulizi : MALAIKA WA SHETANI Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES Sehemu ya 1 LANGO uligongwa tena. Safari hii mgongaji aligonga kwa nguvu zaidi. Kwa mbali, sauti yake ilisikika ikinong’ona, ikiwa na kila dalili ya hofu na wasiwasi, ikisema, “Tafadhali nifungulie… dakika...
  8. Kibosho1

    Tanzania hata akija kutawala malaika bado kelele zitakuepo tu

    Kuna watu tayari wana imani kubwa juu ya awamu ya 6, lakini tujiulize je anatumia katiba ipi? Ile ile au amekuja na yake? Basi kaa ukijua mabadiliko ni machache sana. Binafsi nachokiona kwa Samia ni ubinadamu, utu na usawa, kikanda, kieneo na kidini, haya mambo tuliyakosa sana kwa mtangulizi...
  9. YEHODAYA

    Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

    Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
  10. Nebuchadinezzer

    Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini

    Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini. Nimeumia zaidi kuona viongozi wa dini wanavyosifia serikali hii iliyojaa kila aina ya dhambi na kuacha kukemea mauaji, ukabila na uchama unaoshamili nchini. Nimeumia sana kuona wasomi wenye elimu ya juu ambao wamesomeshwa kwa...
  11. MoseKing

    CCM, Mfumo wa Chama kimoja na Kisa cha malaika wa Zawadi

    Kisa chenyewe! "Malaika mmoja alimtokea Mtu mmoja nyumbani kwake, akamwambia maombi yake kuhusu hali ngumu yamesikilizwa na hivyo anaweza kumwambia cochote akamsaidia. Ila kabla hajachagua kuna sharti moja tu, cochote atachokiomba JIRANI atapata Mara Mbili yake! Yule mtu baada ya kusikia...
  12. U

    Historian ya wimbo wa Malaika ambao mkenya inadai ni wao

    Kenya wameanza hizi Mambo kitambo , huu wimbo maarufu wa malaika asili yake ulitungwa na mtanzania Adam Salim Ila Kuna mkenya enzi hizo bwana fadhili William anadai Ni wake c kweli, hii kiswahili Ni yabongo. Someni historia mjue ukweli. Malaika, the mystery, the history, the torment MALAIKA...
  13. GENTAMYCINE

    Uthubutu wake, Kukabiliana Kwake na Umakini wake dhidi ya Janga la 'CORONA' lamfanya Rais Dkt. Magufuli akubalike kama 'Malaika' nchini Uganda

    Watanzania najua baadhi yetu tunaweza ama tukawa hatujui 'Thamani' ya Rais Dkt. Magufuli au 'Umuhimu' wake Kwetu ila itoshe tu kusema kwamba pamoja na kwamba 'Kibinadamu' anaweza akawa na 'Mapungufu' yake kama niliyonayo Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ila kwa Tanzania 'Kumpata' Kiongozi kama...
  14. Course Coordinator

    Si ajabu tunawazika kwa heshima wale walio machukizo mbele za Mungu

    Wasalaam, Nilipokuwa kidato cha tatu, mwanafunzi mwenzetu alijiua kwa kunywa vidonge 16 vya chloroquine. Binti huyo aliyekuwa akiitwa Rebeka, alikuwa mzuri wa sura, umbo, na tabia na kwa kweli hakuna hata mtu mmoja aliyewaza kuwa mrembo huyo angeweza Kujitoa roho kikatili hivyo. Kifo chake...
  15. FrankLutazamba

    Nilishaota nimekuwa Malaika ninaeishi Pangoni tena pango ninalolijua, na kupaa kwa kasi hewani bila mbawa...

    Ni kweli niliota ndoto ya kweli kama ya dakika tatu hivi nilikuwa juu ya pango lililopo ktk jiwe moja refu mlimani ukiwa juu ya jiwe kuna pango, sasa nilikuwa katika hali ya Umalaika nikamwona mwanafunzi wa shule ya msingi anapita basi nilipaa toka juu ya pango like kwa kasi nikamfikia tukaanza...
  16. Influenza

    Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  17. K

    Ujumbe kutoka kisiwa Juji "Tukishindwa kutofautisha maslahi ya Taifa, Tutakuwa waashi wa kugeuza mawe kuwa Malaika"

    Hii inaitwa Made in Kisiwa Juji.. Yaani mpaka leo mwaka 2019 nachelea kusema kwamba hatujafanikiwa kujuwa maslahi ya Taifa ni nini na najuwa kuna mahali tuliteleza. Fuatilia haya maelezo yaliyonukuliwa mahali. Sauti kutoka kisiwa Juji. " Kila aingiae madarakani anakuja na viroba vya vionjo na...
Back
Top Bottom