malawi

Malawi (, or ; Chichewa: [maláβi] or [maláwi]), officially the Republic of Malawi, is a landlocked country in Southeast Africa that was formerly known as Nyasaland. It is bordered by Zambia to the west, Tanzania to the north and northeast, and Mozambique surrounding on the east, south and southwest. Malawi spans over 118,484 km2 (45,747 sq mi) and has an estimated population of 18,143,217 (as of July 2018). Lake Malawi takes up about a third of Malawi's area. Its capital is Lilongwe, which is also Malawi's largest city; the second largest is Blantyre, the third largest is Mzuzu and the fourth largest is its old capital Zomba. The name Malawi comes from the Maravi, an old name of the Nyanja people that inhabit the area. The country is nicknamed "The Warm Heart of Africa" because of the friendliness of the people.The part of Africa now known as Malawi was settled by migrating Bantu groups around the 10th century. Centuries later in 1891 the area was colonised by the British. In 1953 Malawi, then known as Nyasaland, a protectorate of the United Kingdom, became a protectorate within the semi-independent Federation of Rhodesia and Nyasaland. The Federation was dissolved in 1963. In 1964 the protectorate over Nyasaland was ended and Nyasaland became an independent country under Queen Elizabeth II with the new name Malawi. Two years later it became a republic. Upon gaining independence it became a totalitarian one-party state under the presidency of Hastings Banda, who remained president until 1994. Malawi now has a democratic, multi-party government headed by an elected president, currently Peter Mutharika. The country has a Malawian Defence Force that includes an army, a navy and an air wing. Malawi's foreign policy is pro-Western and includes positive diplomatic relations with most countries and participation in several international organisations, including the United Nations, the Commonwealth of Nations, the Southern African Development Community (SADC), the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA), and the African Union (AU).
Malawi is among the world's least-developed countries. The economy is heavily based in agriculture, with a largely rural population that is growing at a rapid rate. The Malawian government depends heavily on outside aid to meet development needs, although this need (and the aid offered) has decreased since 2000. The Malawian government faces challenges in building and expanding the economy, improving education, healthcare, environmental protection, and becoming financially independent amidst widespread unemployment. Since 2005, Malawi has developed several programs that focus on these issues, and the country's outlook appears to be improving, with a rise in the economy, education and healthcare seen in 2007 and 2008.
Malawi has a low life expectancy and high infant mortality. There is a high prevalence of HIV/AIDS, which is a drain on the labour force and government expenditures. There is a diverse population of native peoples, Asians and Europeans, with several languages spoken and an array of religious beliefs. Although there was periodic regional conflict fuelled in part by ethnic divisions in the past, by 2008 it had diminished considerably and the concept of a Malawian nationality had reemerged.

View More On Wikipedia.org
  1. Vyombo vya Dola viache Demokrasia ikue Afrika, viige mfano wa Malawi

    Nivipe pongezi vyombo vya dola vya Malawi kwa kutenda haki na nchi zingine zinifunze kutoka Malawi. Jeshi, Polisi, Mahakama, majaji na mkuu wa jeshi aliyekubali kufukuzwa kazi, lakini alisimamia msimamo wake palepale penye haki. Alikataa kupiga raia, Majaji waliktaa rushwa ya mabililioni...
  2. Malawi: Kiongozi wa upinzani, Lazarus Chakwera ashinda Uchaguzi

    Maelezo ya picha Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera ameshinda duru ya pili ya uchguzi wa urais, maafisa wanasema. Alimshinda rain aliyekuwa rais wa nchi hiyo...
  3. Je, pongezi zetu Watanzania kupitia kwa Mwakilishi Wetu Mmoja Kikatiba kwa Ushindi wa Kiongozi wa Upinzani nchini Malawi Chikwera utatoka Moyoni?

    Kuna Mtu Mmoja kama namuona vile na jinsi alivyo na tabia ya Hasira ( Jazba ) atakavyompongeza Mshindi wa Malawi huku akiwa amenuna balaa.
  4. Uchaguzi Malawi 2020: Hongereni wana wa Malawi, hakika nyie mnaongoza taifa huru

    Mutharika kaaanguka. Haki imetamalaki Wananchi wameamua kumtoa kuhani madarakani. Sio mapolisi wala wana wa usalama walioingilia mchakato. Hatukusikia IGP wa huko wakiingilia mchakato na kuviita vyama vya upinzani vikiitwa vyama vya hovyohovyo kama anavyoita hapa kwetu bwana SIMON SIRRO. Hii...
  5. Mazingira na Kiini cha mabadiliko Nchini Malawi

    Leo 09:22am 27/06/2020 Rais wa tatu wa Malawi, Bingu wa Mutharika kipenzi cha Wamalawi,muanzilishi wa Chama cha DPP alichokianzisha 2005 na mwaka 2009 kilibeba viti vingi vya Wabunge bungeni,alifariki Mwaka 2012 akiacha sifa njema katika nchi ya Malawi. Rais anayemaliza muda wake,Peter...
  6. Fahamu historia fupi ya Rais mpya wa Malawi Dkt. Chakwera

    MJUE RAIS MTEULE WA MALAWI MH LAZARUS MCCARTHY CHAKWERA Na Elius Ndabila 0768239284 Nchi ya Malawi wiki hii ilifanya uchaguzi ambao matokeo rasmi yametangazwa leo na kumpatia ushindi Mh CHAKWERA. Ikumbukwe Malawi imefanya Uchaguzi huu baada ya mahakama ya juu ya Malawi kutengua matokeo yaliyo...
  7. Tunajifunza nini kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu nchini Malawi?

    Siku ya Jumanne ya terehe 23/06/2020 Wananchi nchini Malawi, walipiga kura katika uchaguzi wa marudio, baada ya yale ya awali yaliyompa ushindi Rais aliyeko madarakani, Peter Mutharika, kutenguliwa na Mahakama ya kikatiba nchini humo. Tukumbuke kuwa Peter Mutharika alitangazwa na Tume ya Taifa...
  8. Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

    Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa. Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama...
  9. Video: Hivi ndivyo kura za marudio ya uchaguzi wa Rais zilivyolindwa na wananchi nchini Malawi. Hakika kuna la kuifunza Tanzania

    Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi . Mungu ibariki Malawi
  10. R

    Malawi: MCP ikionekana kuongoza katika kura za awali katika uchaguzi wa marudio, chama tawala chalalamika kufanyiwa "rough" kutishia kukataa matokeo

    Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
  11. Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda asema nchi hiyo haina Corona

    Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu. Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara. Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
  12. L

    World Bank Approves $37 Million Support for COVID-19 Response in Malawi

    WASHINGTON, April 15, 2020— The World Bank approved today $7 million in immediate funding to support Malawi’s response to the global COVID-19 (coronavirus) pandemic under a new Malawi COVID-19 Emergency Response and Health Systems Preparedness project. In addition to the new operation, $30...
  13. Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

    Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana. Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa...
  14. CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  15. Malawi yahalalisha matumizi ya bangi

    Malawi imekua nchi ya hivi karibuni iliyoko Kusini mwa Afrika kuhalalisha kisheria ukulima na uuzaji wa ndani na nje wa bangi. Wanaotumia bangi kama kiburudisho wanaiona bangi kama , "Malawi Gold", yaani Thahabu ya Malawi kama wanavyoiita wenyewe, kuwa moja ya dawa nzuri. Lakini maafisa...
  16. K

    Hakuna Kiongozi anayekumbuka kama mpaka wa Tanzania na Malawi umehamishwa?

    Wanajamvi kwa kumbukumbu zangu ni mwaka wa nne sasa tangu uzi wa namna hii uletwe hapa jamvini kama nitakosea mnirekebishe lakini jambo muhimu ni maudhui ya uzi huu. Mpaka wetu ulioachwa na Hayati Baba wa Taifa umehamishwa kinyamela na viongozi woote hasa Mawaziri wamelala bila kushughulikia...
  17. Malawi: Baada ya Mahakama kubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu, Rais Peter Mutharika atangaza kukata rufaa

    Rais wa Malawi, Peter Mutharika amekosoa uamuzi wa Jumatatu wa Mahakama ya Kikatiba kuwa ulikuwa wenye kujaa dosari ambazo zilipaswa kurekebishwa. Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa kwa hukumu, Mutharika ameshutumu mahakama kwa kushambulia demokrasia ya nchi hiyo. Mapema Alhamisi...
  18. Hawa ndio Majaji waliobatilisha matokeo ya Uchanguzi Mkuu Malawi

    justices Healey Potani, Mike Tembo, Dingiswayo Madise, Ivy Kamanga and Redson Kapindu Hawa ni Majaji wa Mahakama ya Kikatiba waliobatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais hapo jana Uchaguzi huo Mkuu ulifanyika Mei 2019 na ulibatilishwa Februari 3, 2020 kutokana na kasoro zilizokuwepo kwenye...
  19. Malawi: Mahakama ya Katiba yabatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo uliofanyika Mei 21 mwaka 2019

    Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo. Wananchi wametanda mitaani na kulipuka kwa shangwe kusherehekea uamuzi huo wa mahakama. Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia...
  20. Malawi: Mahakama kutoa uamuzi kuhusu mgogoro wa Kura za Urais

    Ulinzi umeimarishwa na Wanadiplomasia wa nchi ya Malawi wamehimizwa kutulia wakati Mahakama ya nchi hiyo ikijiandaa kutoa uamuzi kufuatia mgogoro wa uchaguzi wa Urais uliosababisha kukosekana kwa utulivu katika nchi hiyo. Taarifa zinaeleza kuwa nchi hiyo haikuwahi kuwa na mchakato kama huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…