malawi

  1. Roving Journalist

    Malawi uses mobile clinics to provide COVID-19 vaccine

    Malawi's health authorities on Wednesday said the reluctance of people to receive Covid vaccines in the country could lead to thousands of doses being contaminated by early next month. So far only 2 percent of the country's population has received the vaccine, with the government saying it plans...
  2. Suley2019

    Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
  3. Father of All

    Je, kilichotokea Malawi kinajirudia Zambia ambapo Rais anatimuliwa?

    Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa Rais wa Zambia Edgar Lungu. Lungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanja mbuga kumnyang'anya Ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani...
  4. Teddy1

    Zambia na Malawi wanatumia online forums ipi?

    Tanzania tunatumia jamiiforums, huko Zambia, Malawi, South Afrika, wanazo hizi locally hosted online forums? Kama zipo ninaomba link nizione please.
  5. beth

    Wanadiplomasia wa Malawi Nchini Afrika Kusini wafukuzwa kufuatia skendo ya biashara haramu ya pombe

    Afrika Kusini imewafukuza wanadiplomasia kadhaa wa Malawi baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya kuuza pombe bila kulipa tozo. Taifa hilo pia limefukuza Wanadiplomasia kadhaa kutoka Lesotho kwa sababu hizo Wizara ya Mambo ya Nje ya Malawi imesema Afrika Kusini iliwapa...
  6. Shing Yui

    Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka huo umepita katikati ya ziwa Nyasa. Siku chache mbeleni nikaangalia tena nikaona mpaka upo pale...
  7. Analogia Malenga

    #COVID19 Malawi kuharibu chanjo 19,000 za Covid 19 zilizopitisha muda wa matumizi

    Mamlaka za afya nchini Malawi zinatarajiwa kuharibu zaidi ya dozi 19,000 za chanjo ya Covid 19 kutoka AstraZeneca baadaye siku ya Jumatano. Wanasema chanjo hizo zimepitisha muda wa matumizi na hakuna data ya kutosha kujua ikiwa ni salama kutumiwa, kufuatia mwongozo kutoka kwa Shirika la Afya...
  8. Analogia Malenga

    Malawi kuondoa hukumu ya kifo

    Mahakama kuu ya Malawi imeamua kuwa adhabu ya kifo ni kinyume cha katiba. Mahakama imesema kuwa hukumu ya kifo ipo kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu, Hii ikimaanisha kuwa adhabu kubwa zaidi itakayotolewa nchini Malawi itakuwa hukumu ya kifungo cha maisha. Tume ya haki za...
  9. R

    TUJIKUMBUSHE: Kifo cha Rais wa Malawi wahaini sita usiku wa manane" The Midnight Six" na Njama za kutaka kumpora Urithi wa Urais Joyce Banda

    Habari za leo ndugu wasomaji wa JamiiForums. Kisa hiki cha Rais wa Malawi Pres Bingu wa Mutharika na Makau wake Joyce Banda chaweza kuwa na funzo namna taasisi za nchini humo zilivyokuwa na maadili kwa maslahi ya wana Malawi. Twende pamoja. Ni usiku wa kuamkia tare 5 aprili 2012, Rais Bingu...
  10. Erythrocyte

    #COVID19 Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

    Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na...
  11. Sam Gidori

    Waziri wa Malawi asafiri kwenda Uswizi kuhudhuria kikao alichotakiwa kushiriki kidigitali, azungumza mbele ya ukumbi usio na watu

    Waziri wa Sheria wa Malawi amesafiri kwenda Geneva nchini Uswizi kuhudhuria Mkutano wa 46 wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkutano uliofanyia kwa njia ya kidigitali, na kuhutubia ukumbi uliojaa viti bila kuwepo mtu yeyote! Mitandao ya kijamii imemshambulia Titus Mvalo kuwa...
  12. Suley2019

    Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  13. Analogia Malenga

    Malawi yatangaza siku tatu za maombolezo baada ya mawaziri wawili kufa kwa COVID-19

    Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19. Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19. Bendera zitapepea nusu mlingoti...
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 Malawi yawapoteza Mawaziri wawili kutokana na COVID-19

    Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki dunia kutokana na COVID-19. Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao...
  15. U

    Rais Ramaphosa ameapa kuwachukulia hatua waliomtorosha Nabii Bushiri kutoka Afrika Kusini kwenda Malawi

    RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa za kina. Nabii Shepherd Bushiri na mke wake Mary, wanakabiliwa na mashtaka ya ulaghai na...
  16. Miss Zomboko

    Nabii Bushiri na Mkewe wajisalimisha kwa Polisi wa Malawi baada ya kukimbia kesi ya utakatishaji fedha Afrika Kusini

    Fugitive Malawian preacher turns himself in to police Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa. The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
  17. S

    Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

    TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
  18. S

    Katika awamu hii chini ya Rais mpya Malawi, Magufuli atumie fursa hii kutatua mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania

    Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
  19. Suley2019

    Malawi: Rais Chakwera atoa ufafanuzi kuhusu suala la kutovaa barakoa alipokuwa katika ziara yake nchini Tanzania

    Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa...
  20. F

    Rais wa Malawi akatiza ghafla ziara yake nchini Tanzania

    Habari zinasema rais wa Malawi amekatiza ziara yake hapa nchini baada ya mazungumzo na Rais Magufuli na wafanya biashara wa Malawi. Rais Chakwera alifika Tanzania Jumatano kwa ziara ya siku tatu ya kikazi, alitarajiwa kuondoka Ijumaa ila ameondoka alhamisi kutokana na dharura ya mambo ambayo...
Back
Top Bottom