Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.
Akaingia madarakani, akawa...
Malawi discovers largest rutile mineral reserves in the world @ 1.8 billion tonnes.
At present price, the wealth is 3 trillion USD.
Kwa viongozi wa kiafrica bado nchi itateseka na umasikini
“Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu” amesema Rais Samia Suluhu Hassan kwa kifupi akimuelekeza Polepole baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa...
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?
Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Nawakumbusha tu kwa wadau wowote mnaotegemea kusafiri kuelekea nchini Malawi kwamba nchi hiyo ina masharti makali dhidi ya UVIKO-19. Hakuna raia anayeruhusiwa kuingia nchini humo pasipo kuonyesha uthibitisho wa kuchanjwa dhidi ya virusi ya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19.
Nawatakia...
Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Kindamba...
Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli.
Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini?
Nchi yetu ni...
Wakuu,
Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu
Haya Wewe pamoja na Usomi wako wote na Kujimwambafai Kwako kote kuwa Umeelimika Cheo cha Balozi au hata Vyeo vingine huna, hujavipata na unavisikia tu kwa Wengine katika Bomba.
Na si tu kwamba Bondia Mstaafu Maarufu duniani Mike Tyson ameteuliwa tu kuwa Balozi wa Bangi / Bange nchini Malawi...
Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.
Amani na utulivu,
Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.
Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa...
Kuna usemi unasema mwenzio akinyolewa zako tia maji.
Kutokana na mwenendo wa kesi za kimataifa kuhusiana na mipaka inaonyesha mahakama na hata jumuiya ya kimataifa haina nguvu sana ya kulazimisha uamuzi wa mahakama.
Nilichojifunza ni kwamba kwenye mivutano yetu ya mipaka kinachoweza kukusaidia...
Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi
Iko hivi
Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani.
Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi
Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo .
Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.