Mamlaka zimesema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kutokana na Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku baadhi ya nchi kama Tanzania, Britain na Zambia zikiendelea kutuma misaada ya kibinadamu pamoja na vikosi vya uokoaji.
Idara ya Masuala ya Kukabiliana na Majanga ya...
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake.
Ukipitia twakimu kwa miaka...
Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy, hizi zitafuatiwa na misaada ya chakula, madawa na mahema ambavyo vinaelekea huko kwa njia ya...
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
Idadi hiyo inajumuisha Vifo vilivyotokea tangu Kimbunga hicho kilipoingia Barani Afrika Februari 2023 ambapo watu 326 ni kutoka Malawi, 53 kutoka #Msumbiji na wengine 27 kutoka #Madagascar.
Wizara ya Maliasili na Mabadiliko ya Hali ya Hewa imesema licha ya dhoruba kutoweka, bado Mvua kubwa...
Uamuzi huo umetangazwa na Rais Lazarus Chakwera ambaye pia ameagiza Bendera kupepea Nusu Mlingoti kwa siku 7. Hadi sasa zaidi ya Watu 19,000 wamepoteza makazi yao na wengine hawajulikani walipo kutokana na athari za Kimbunga Freddy.
Aidha, Rais Chakwera amesema Mkutano wa Dharura wa Baraza la...
Kimbunga hicho kinachoambatana namvua na upepo mkali kimesababisha mafuriko na uharibifu wa makazi na miundombinu na kuna uwezekano wa kongezeka kwa madhara zaidi.
Mashirika ya misaada yanaonya kwamba uharibifu uliotokea utaongeza mlipuko wa kipindupindu na Serikali imetangaza maafa katika...
Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi.
Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
Polisi nchini Malawi wamesema takriban watu 15 wamefariki na wengine 16 hawajulikani walipo kutokana na uharibifu uliosababishwa na dhoruba ya kitropiki Freddy.
Pamoja na kukatika kwa mawasiliano bado haijulikani ukubwa kamili wa uharibifu na idadi ya waliojeruhiwa.
Polisi wamesema watu...
Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji.
Kwa mujibu wa BBC, mvua kubwa inayonyesha kusini mwa Malawi imeharibu barabara na kusitisha uzalishaji wa umeme, huku...
Wizara ya Afya ya #Malawi imesema wanakabiliwa na uhaba wa chanjo na kuwa idadi ya watu kwa jumla walioambukizwa Kipindupindu tangu Mwaka 2022 mpaka Januari 24, 2023 ni 30,600.
Novemba 2022 Nchi hiyo ilipokea dozi milioni tatu za chanjo ya Kipindupindu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) lakini idadi...
Uamuzi wa Serikali unafuatia kuendelea kusambaa kwa Ugonjwa huo hatari kwenye Wilaya 29 za Nchi hiyo na kuambukiza Watu 20,000 pamoja na kusababisha vifo takribani 700
Taarifa ya Serikali imeziomba Jamii, Kampuni na Mashiriki Binafsi kusaidia Vifaa Tiba, Uboreshaji Miundombinu ya Maji kwenye...
Kipindupindu kimeua watu 620 nchini Malawi tangu kuanza kwa mlipuko huo mapema mwaka 2021, Waziri wa Afya Khumbize Chiponda ametangaza.
Hadi kufikia Januari 2, 2023, visa 18,222 vya ugonjwa wa kipindupindu vilithibitishwa, huku nchi ikirekodi watu 16,780 waliopona na 822 bado wako kwenye vituo...
Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...
Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema.
Chanjo ya RTS,S, kama inavyojulikana, imekuwa katika majaribio nchini Malawi, Ghana na Kenya katika...
Taasisi ya Kupambana na Rushwa (ACB) imesema Saulos Klaus Chilima alipokea Tsh. Milioni 651.5 ili kutoa kandarasi za Serikali kwa mfanyabiashara Zuneth Sattar.
Makamu wa Rais anakabiliwa na mashtaka 6 yanayohusiana na Rushwa, huku mfanyabiashara Sattar aliyekamatwa nchini Uingereza Oktoba 2021...
Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali.
Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba.
Tunahitaji katiba mpya...
Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi.
Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula...
Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.