Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.
Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.
Wakuu...
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya.
Nimetangaza dau la laki tatu na afya tunapima.
Nilikopa benki 20 mil nimeimaliza na mademu na pombe. Msinitukane nihurunieni.
Chanzo cha haya mambo ni kushushwa cheo. Magufuli alifanya wazembe wote wakaa pembeni. Wahuni mtatuua
Ghafla baada ya kuingia mama Samia, akapangua pangua. Bahati mbaya tukaathirika kwenye eneo langu na nikawekwa...
Habar wadau!!!
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa mara nying sana siri ya nguvu zake akusema ila kwa delila alisema yote shida ipo wapi shida ni...
Kwa ufupi, nipo kikazi mkoa fulani kwa bahati mbaya/nzuri nimekutana na binti nilibahatika kuwa nae kimapenzi na nikamhudumia kwa miaka kadhaa nyuma kabla ya kwenda nje ya nchi kujiendeleza kimasomo.
Leo cha kustaajabu nimekuja mkoa X kikazi nimekutana nae akiwa anakata mauno hadharani kwenye...
Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya.
Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume.
Watu wanataka kuishi nawatu wenye malengo,kujituma,kujiongezs na wenye heshima na upendo wa kweli
KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA!
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
WANAUME; JINSI YA KUMFANYA BINTI YAKO ASIWE MALAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Wanawake wengi siku hizi 80% ni Malaya, umalaya ni kitendo cha mwanamke kufanya tendo la ndoa na Mwanaume zaidi ya mmoja. Umalaya upo WA Aina nyingi lakini maarufu ni ule umalaya Kwa ajili ya pesa ambao huitwa...
Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo..
Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela.
Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can https://jamii.app/JFUserGuide any woman around you” maana...
Kwakweli siamini kama wiki ya pili hii inakatika eti sijanunua malaya kabisa, si mtandaoni wala sio Sinza, naona kwangu ni mafanikio makubwa sana katika safari yangu ya kuushinda huu Uraibu.
Kwa sasa najitajihidi kujiburudisha kwa muziki au bia au vyote kwa pamoja, ila malaya hapana, huo ndio...
Niko somewhere in East africa, wife yuko kilometres kadhaa from me na tumezinguana toka jana,hakuna aliyemtafuta mwenzie leo for sex video,so nimeamua nitafute tu malaya hapa nilipo nijipigie siku iishe.
Muwe na usiku mwema nyote mlioko East africa.
Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.
Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha...
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa...
Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi.
Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
Habari za muda huu
Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie??
Akasema yeye hafanyi biashara
Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina...
Wanajamvi habarini,
Juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa...
Merry Christmas
Kumekua na maneno ya kashfa Sana dhidi ya baadhi ya makabila hapa Tanzania.kuwa "wanawake wa kabila fulani Ni Malaya Sana,hawafai".
Mtazamo huu Mimi Lee sikubaliani nao.
Sikubaliani nao kwa sababu kila mtoa lawama hulaumu kutokana na wanawake wa kabila fulani aliokutana nao.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.