Na Beatrice Kimaro
Mchambuzi, Tanzania
CHANZO CHA PICHA,HABARI LEO
Ikiwa na bandari tatu kubwa upande wa bahari ya Hindi na nyingine kadhaa upande wa maziwa, Tanzania imekuwa kiungo muhimu kwa nchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Bandari zake za Dar es Salaam...
Turkish 5th Gen Fighter TF-X prototype on the final assembly line.
20+ meters in length and powered by 2 GE F110 engines. This puts the TF-X in the same league as F-22 Raptor, J-20 Mighty Dragon and Su-57 Felon in terms of size. source. Military Tactics
Ndege ya 5 Kivita ya Kituruki TF-X ipo...
Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi
Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda wa masaa ishirini na nne au siku moja.
Chuja na uweke dawa hii mbali na jua/joto ni vizuri kama...
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.
Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
amavubi gfsonwin
amkeni
basata
ccm
dhidi
king'asti asprin
kuacha
malcomlumumbamshanajrjingalaomsemajikweli
mama samia
maua
mpya
nani
ney wa mitego
nigeria
roma
roma mkatoliki
samia
serikali
ujasiri
ujinga
ukweli
ukweli mchungu
wimbo
wimbo mpya
yangu
Lori la mafuta lalipuka na kusababisha vifo vya watu wanane kusini magharibi mwa Nigeria
AFPCopyright: AFP
Takriban watu 8 wamethibitishwa kufariki kutokana na mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Ondo Kusini Magharibi mwa Nigeria baada ya wakaazi kuchota mafuta kutoka kwa lori hilo...
Na Humpo Lakaje, BBC
CHANZO CHA PICHA,NHLANHLA MOSHOMO
Maelezo ya picha,
Kuanzia kushoto ni Lithabo, Fletcher na Lunia. Na mtoto huyo ni wa Fletcher na Lithabo
Mtindo mpya unaoitwa 'Polyamory' unaibuka miongoni mwa vijana wa Afrika Kusini. Polyamory inamaanisha kuwa katika uhusiano wa...
MKATABA NDIO HUO KWA LUGHA YA KISWAHILI USOME NA UELEWE.
TAFSIRI NA UCHAMBUZI MKATABA WA BANDARI TANZANIA NA DUBAI.
UTANGULIZI; Februari 28, 2022, Rais Samia alipokwenda UAE kuhudhuria Maonesho ya Dubai 2020, ilisainiwa hati ya makubaliano (MoU), baina ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na...
Aprili 27, 2023, akaunti ya Mtandao wa Twitter inayotumia jina la MainLandAfrica iliweka chapisho linalodai kuwa Bilionea wa Marekani Dan Friedkin amekodisha takriban Ekari 6,000,000 za ardhi nchini Tanzania.
Chapisho hilo lilienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Friedkin ni mmiliki wa Ekari zingine...
Mwenyekiti wa Chama cha ADC, Hamad Rashid.
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital
Chama cha Alliance for Democrating Change (ADC ), kimetoa rai kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kuchukua hatua kwa vyama ambavyo vitashindwa kufuata katiba yake.
Akizungumza na MTANZANIA DIGITAL Julai 20, 2023...
Kamasi ni sababu ya magonjwa yote. RIP DR.SEBI
Hili ndilo swali nililoulizwa mahakamani, kwamba kwa nini tunatoa madai haya na kwa nini tulifanikiwa sana na kinachoendelea ni kwamba ugonjwa huo haukutambuliwa kwetu.
Ikiwa ingetambuliwa swali lisingeulizwa sasa na kisha sisi sote, sisi wote...
Dar es Salaam. Mchoraji katuni wa Tanzania, Masoud Kipanya amezindua rasmi gari lake ambalo ni la kwanza la umeme kutengenezwa hapa nchini.
Kipanya, amesema gari hilo la umeme ni wazo lake binafsi la ubunifu ambalo lilimchukua miezi 11 kukamilika.
Gari hilo ambalo ni rafiki kwa mazingira kwa...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
amavubi gfsonwin
baraza
faini
jirani
kibali
kifungo
king'asti asprin
kufunga
kukamatwa
kutoka
malcomlumumbamshanajrjingalaomsemajikweli
marufuku
miezi
milioni
milioni 1
nchi
nchi jirani
nywele
sheria
tanganyika
wanaume
wanawake
zanzibar
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomari Satura, amemvua madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya Kivule kwa kushindwa kusimamia majukumu yake.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Julai 8, 2023 na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano, Tabu Shaibu, hatua hiyo imefikiwa baada ya kushindwa...
Speaking to reporters in Vilnius, ahead of the NATO leaders summit, Stoltenberg said President Erdogan and Swedish Prime Minister Kristersson had agreed to terms to advance Sweden's NATO application.
Turkey has decided to lift its veto on Sweden's NATO membership, NATO Secretary General Jens...
Muktasari:
Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga leo Jumatatu ametumia usafiri wa umma maarufu matatu au daladala kwenda kazini. Hatua hiyo imeibua mijadala mitandaoni.
Kenya. Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga mapema leo Jumatatu, Julai 10, 2023 ametumia...
Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na wengine 67 hawajulikani walipo.
Mamlaka zinaamini boti hiyo ilikuwa inaelekea Italia, wakati huohuo...
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita.
Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...