Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajab Mabele leo Julai 10, 2023 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Picha na Ikulu.
Muktasari:
Rais Samia...
Afrika ina idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa malaria duniani na jitihada zinafanywa kupunguza mzigo huo.
Malaria inasalia kuwa moja ya magonjwa hatari zaidi barani / Picha: AP
Muungano wa kimataifa wa chanjo (GAVI) umesema nchi 12 barani Afrika zitapokea dozi milioni 18 za chanjo ya malaria...
Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.
Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.
Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.
Kuhusu ndege kukamatwa soma
Serikali yakiri Ndege yake kushikiliwa Uholanzi, sababu ni kushindwa kesi...
Uhamiaji wa Nyumbu wa Bluu, Connochaetes Taurinus, Wakitembea Machweo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Kusini. / Picha: Picha za Getty / Photo: Getty
Aidha, Serengeti imenyakua nafasi ya tatu Nyuma ya Mauritius and Kathmandu kwenye kitengo cha Maeneo Bora ya Asili - Ulimwenguni.
Serengeti...
Umoja wa Mataifa unasema visa vya uchomaji Quran vinaongezeka barani Ulaya. Picha: AFP
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura katika siku zijazo kujadili matukio ya hivi karibuni ya kuchomwa moto kwa kitabu kitakatifu cha Quran barani Ulaya, msemaji wa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunaini, Papa Francis, amelaani kwa matamshi makali vitendo vya kuchomwa kitabu kitakatifu kwa Waislamu, Qur'an.
Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu vitakatifu vya dini kama njla ya kuonesha heshima kwa Watu wanaoviamini, katika mahojiano na gazeti...
erdogan / Photo: AA Archive
Rais wa Uturuki ameapa kulijenga upya eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 50,000 mwezi uliopita.
"Lengo letu ni kuinua eneo la tetemeko la ardhi," Recep Tayyip Erdogan alisema Jumapili baada ya chakula...
Ankara imekuwa ikifanya mashambulizi kadhaa ya kupambana na ugaidi kaskazini mwa Iraq ili kuwaangamiza magaidi. / Picha: Jalada la AA
Hasan, kwa jina maarufu Celal Kaya, aliyetambuliwa kama 'afisa wa Ujasusi' na kundi la kigaidi la PKK nchini Iraq, "amekatwa makali " katika operesheni...
Maafisa wakuu kutoka nchi hizo tatu wanachunguza pingamizi la Uturuki dhidi ya uanachama wa Uswidi katika muungano wa kijeshi, na kuona ni nini zaidi kifanyike ili kuvunja mkwamo huo.
Mkutano wa Alhamisi unakuja kabla ya mkutano wa kilele wa NATO huko Vilnius, Lithuania utakaofanyika Julai...
Erdogan amefanya mazungumzo na Zelenskyy Istanbul / Picha: AA
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemueleza mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kuwa Kiev ilistahili kujiunga na NATO, lakini pia ameiambia ifanye mazungumzo ya amani na Moscow.
"Hakuna shaka kwamba Ukraine inastahili...
dizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini.
Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na:
1: Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6...
Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa.
Utafiti wa...
Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga kusimamishwa.
Wakili Karume maarufu kama Shangazi, alisimamishwa kwa muda kutoa huduma hiyo na Mahakama Kuu...
Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na wewe unayelalamika ovyo?
Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania
Wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika.
Hifadhi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania
Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa...
Dkt. Slaa: Leo naomba kuzungumza nanyi kidogo kwa mujibu wa katiba yetu ibara ya 20. Nina taarifa kwamba kesho asubuhi majira ya saa mbili vijana wataandamana kutoka Temeke kwenda kukabidhi maoni yao, hoja zao, kwa mpendwa Rais wao kule Magogoni.
Vijana hao ambao wanaandamana walipeleka barua...
DALILI KUBWA 20 ZA MTU KUWA NA UCHAWI MWILINI
Watu wengi wamekuwa wakirudishwa nyuma kimaisha na kujikuta wakiangukia pua bila kujua chanzo nini. Wachawi wana mbinu kali hasa wanapotaka kutekeleza jambo lao. Nimekuwekea dalili za kufahamu kama una uchawi mwilini mwako.
Kuota mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.