malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maziwa na unga wa karafuu ni tiba ya maradhi mengi

    MAZIWA YA NG'OMBE HALISI NA UNGA WA KARAFUU NI TIBA YA MARADHI MENGI. Kijiko kidogo cha Unga wa karafuu ya kusaga changanya na glasi moja ya maziwa chemsha kwa dakika 5 Kisha Kunywa kwa kila siku 1X3 kabla ya kula kitu tumboni kwa siku 21 au siku 31 inatibu Maradhi haya hapo chini👇 1-...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mganga alia kutapeliwa na wateja wake

    Mzee mmoja Salum Mchilowa (kushoto) akimfanyisha mazoezi mgonjwa Ally Said aliyevunjika Mguu Kwa ajali ya pikipiki Mtwara Mjini. Picha na Florence Sanawa Mzee mmoja mkazi wa Kijiji cha Kilomba, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ambaye ni mganga wa tiba asilia, Salum Mchilowa amesema kuwa amekuwa...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Picha yangu ya leo, unasemaje?

  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vituko vya Kipanya

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka

    Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu. Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake ndipo akamua kwenda kwa mganga wa kienyeji kupewa dawa ya mapenzi (Limbwata). Alipofika nyumbani...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mchungaji Gwajima azungumza kuhusu mapenzi ya jinsia moja

    MCHUNGAJI NGWAJIMA AZUNGUMZIA KUHUSU USHOGA NA USAGAJI.
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Faida za kufanya mazoezi kwa mama mjamzito

    Madaktari na wataalamu wa afya wanashauri mama mjamzito kufanya mazoezi mepesi kwa muda wa dakika 10 mpaka 30 kila siku ili kuimarisha misuli, mzunguko wa damu, viungo vya uzazi na kupunguza uzito. Zifuatazo ni faida anazozipata mama mjamzito iwapo atafanya mazoezi 1. Mazoezi hupunguza maumivu...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vyakula 10 vinavyofaa kwa wanaume

    1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na shinikizo la damu. Ila kula mara kwa mara itasababisha kuongezeka uzito. 2. Samaki kutoa baharini, asa wenye magamba ambao huwa na virutubisho vya zinc vinavyosaidia kuimarisha...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Vyakula muhimu sana ambavyo ukizidisha huwa sumu mwilini

    Vifuatavyo ni vyakula muhimu sana kwa afya ya mwili wako ambavyo ukizidisha vinaweza kuwa hatari sana na kukusababishia maradhi mbali mbali. 1. Nyama ukila nyama kupita kiasi husababisha kiasi kikubwa cha protein na vichochezi vya ukuaji mwilini ambavyo huongeza kasi ya kuzeeka na hatari ya...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kama unaumwa na halafu unaota ndoto hizi na unatibiwa hospitali na hauponi jaribu njia ingine ya asili kujitibia

    Kama unaumwa halafu unaota ndoto hizi na unakwenda hospitali na huponi maradhi yako .basi hospital usiache lakini kimbilia tiba za upande mwingine. Yaani za kidini ama kiasili. 1. Kuota umepotea njia. 2. Kuota marehemu unaowajua wanakuita sehemu nzuri lakini wewe hutaki ama mtu anakuzuia. 3...
  11. JanguKamaJangu

    Nigeria: Muumini alitaka kanisa lirejeshe pesa zake kwa kuwa hana mpango wa kwenda mbinguni

    Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Picha yangu ya leo

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Video: Siri ya Jahazi lililogeuka kuwa jiwe Kilwa Kisiwani

    SIRI YA JAHAZI LILILOGEUKA KUWA JIWE-KILWA KISIWANI
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu

    Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu, tunamuomba Mwenyezi Mungu SUbhana Wataala atunusuru.. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE VIJANA WETU AMIN
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ni marufuku kuweka watoto bwenini. Wakae na mama zao wafundwe maadili mema

    NI MARUFUKU KUWEKA WATOTO BWENINI. WAKAE NA MAMA ZAO WAFUNDWE MAADILI MEMA
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Coletha Raymond: Wanaume wa kizazi hiki wanapenda kulelewa

    Muigizaji nyota wa Bongo Movie nchini, Coletha Raymond amesema kuwa wanaume wengi wa kizazi hiki wanapenda sana kulelewa na wanawake waliowazidi umri. Coletha akaongeza kwa kusema kuwa, pia kuna wanawake watu wazima ambao wanapenda mambo ya style mpya ambazo vijana wa kizazi hiki ndiyo...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Steve Nyerere: Wachungaji wanamiminika kwa wingi hivi imekuwa ni biashara?

    "Siku hadi siku Wachungaji wanamiminika, najiuliza hivi imekuwa ni biashara? Na kama ni biashara wanadhani kufanya mzaha na hisia za watu wanaomtafuta Mungu kwa gharama yoyote wanawatendea haki?"- Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere.
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

    “Ameenda mbinguni kwa andiko lipi? Tunarudi kwenye Biblia, inasema juu ya habari ya kwenda mbinguni, aliyeenda mbinguni kwa mara ya mwisho ni Yesu nae alibadilishwa sio kwa mwili huu wa chipsi na soseji. Hiyo ni changamoto ya afya ya akili."- Mchungaji Richard Hananja
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maajabu ya bangili ya shaba na tiba ya ndani kwa mwili wa binadamu

    Muktasari: Kifupi, kama unadhani kuwa tiba na kinga za maradhi ni vidonge na sindano pekee, basi umepotea, ulizia tena upya maana binadamu ameumbwa kwa namna ya ajabu sana na anapopatwa na maradhi basi huhitaji tiba za aina nyingi sana kama vile tiba ya maji (Hydrotherapy) tiba ya kupakwa...
Back
Top Bottom