Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya.
Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria.
My Take
Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dares Salaam (DAWASA), Cyprian Luhemeja ametangaza upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam kurejea kwa asilimia 100.
“Kwa sasa hali ya maji ni nzuri na huduma ya maji imerudi kawaida na safari hi tumerudi kwa kishindo...
Tanzania ni Nchi pekee Afrika ambayo imetoa uraia kwa Wakimbizi 162,000 wa Burundi, 30,000 wa Rwanda na 10,000 wa Somali Bantus.
Mwakilishi wa Shirika la Wakimbizi Duniani upande wa Tanzania, Mahoua Parums ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa Ushirikiano kwenye masuala ya Wakimbizi katika kikao...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema makali ya mgawo wa umeme yanaendelea kupungua, baada ya megawati 350 Zilizopunqua siku za hivi karibuni kuanza kureiea na wiki ijayo zitaendelea kushuka hadi megawati 100.
Aidha, limesema hadi Februari mwaka huu hakutakuwa na mgawo wowote kutokana...
Kisonono (gonorrhea) ni nini?
Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
Hizi ndizo akili za viongozi wa Tanzânia zilipofikia wanatangaza kifo cha Faru kwa huzuni lakini wanashindwa kutangaza habari za waliwopatwa ajali ya ndege kwao Faru ana thamani kuliko Mtanzania wa kawaida.
Marehemu Rais wetu mpendwa RIP Doctor Magufuli aliwahi kutabiri kuhusu Umeme na Maji alisema kuwa akiondoka matatizo yatarudi kama zamani na leo hii yamerudi tena matatizo ya Umeme na Maji kwa njia ya mgao Lohhh Aliyeturoga sisi Wa-Tanzania ameshafariki miaka mingi hatuwezi tena kupona maradhi...
Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe.
Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
Majangaa kweli inafika wakati Wananchi wanachoka na kuamuwa kujichukulia sheria mikononi mwao hatari kweli.
Mungu atusaidie tuondokane na umasikini, njaa na maradhi amin.
Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha
Kumeza dawa ambazo inachanganya ibuprofen na codeine inaweza kuwa sumu.
6 Oktoba 2022
Shirika la Ulaya la madawa la Ulaya (EMA) limetoa tahadhari wiki hii kuhusu athari za utumiaji wa mchanganyiko huu, ambao hutengenezwa...
By Ephrahim Bahemu
Mwandishi wa habari za uchumi na biashara
Mwananchi.
Kampuni ya China yaingia Tanzania, Uganda sakata ya bomba la mafuta
What you need to know:
The $4 billion worth project will cover 1,445 kilometres, 80 percent of which is on Tanzanian soil, involving a 62 percent...
How To Fix ‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11
‘Can’t Connect to this Network’ error in Windows 11. It’s a common issue that is faced by users across the world. Many consumers get confused by this circumstance, which leads to a lack of understanding about what is generating the...
How To Fix Slow LAN Speed On Windows 11
In this article, we will explain 6 methods that can fix slow LAN speed on Windows 11.
Whether you are attending an online meeting or playing an online multiplayer game, a stable internet connection is a must for a perfect online experience otherwise it is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.