Mchanganyiko wa mpira na siasa za utawala wa CCM Tanzania ni mojawapo ya jambo la kuudhi sana linalokwamisha na kuharibu mema ya nchi yetu pande zote mbili pamoja na kuleta migawanyiko ambayo hakipaswa kuwepo.
Kuna video clip nimieona ya mwanamke mmoja huenda ni shabiki au kiongozi wa...