malengo ya maendeleo endelevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANZANIA IMEPIGA HATUA SANA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU SDG’s

    Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo nishati, maji, afya, elimu, Mawasiliano pamoja na uchukuzi ambapo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Malengo ya uwekezaji wa China barani Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

    Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ili kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), wadau wasisitiza kuimarishwa kwa Utawala Bora, Uwazi na Uwajibikaji

    Muungano wa Asasi za kiraia zunazopambana na umaskini Tanzania (GCAP Tanzania Coalition), leo Septemba 14, 2023 umeshauri kuwa utawala bora, uwazi na uwajibikaji katika ngazi zote ukiimarishwa itawezesha ugawanaji wa rasilimali za umma na kukuza ufanisi wa huduma ambao unazingatia usawa...
Back
Top Bottom