Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
Muungano wa Asasi za kiraia zunazopambana na umaskini Tanzania (GCAP Tanzania Coalition), leo Septemba 14, 2023 umeshauri kuwa utawala bora, uwazi na uwajibikaji katika ngazi zote ukiimarishwa itawezesha ugawanaji wa rasilimali za umma na kukuza ufanisi wa huduma ambao unazingatia usawa...