Binadamu tunahangaika sana na utafutaji na dunia.Tunafikia nafasi za kufanikiwa kisha tunasahau kuishi.
Katika pitapita zangu huko INSTAGRAM nimekutana na hii project "BOYS MENTORSHIP SURVIVAL CAMP".Page inaitwa Boysmentorship20.
Actually ni idea nzuri na pongezi kwa walioanzisha.But then mtu...